Unavaa size gani ya kiatu?

Hivi ni Kwanini bongo hawaleti viatu vyenye size yenye nusu?

Mfano 39.5 au 39 1/2 ?

Hilo linekuwa ni tatizo sana!
 
Kiukweli viatu vingi sokoni kwa wanaume ni # 43 kwenda chini

Binafsi navaa 45 samataimu inatokea 44 au 46 inanifit pia
hHzi namba kupata viatu ni shida unaamua kuchukua tu hata usivyovipenda

Wauzaji wengi wanaishi kwa mazoea akiona mtu mfupi wa kimo fasta anakupa #41 huwa siwaelewi
 
Yaani wewe Ni Kama Mimi tu

Miguu mikubwa sana [emoji1787]
 
Haiwezekani miguu ikawa na size ya namba nzima bila kuwa na nusu au robo!

Nasikia kuna nchi ambazo hutengeneza kipimo cha nusu hasa nchi zilizo endelea.
 
Mim n mkerewe,lakin mungu alinipa limguu la ksukuma navaa namba 45,napata shda sana kupata kiatu kazur,maviatu makubwa hayanaga shape nzur
 
Mi mguu wa kushotokila kiatu huwa lazma kinibane mguu huo
 
kiatu navaa 42 au 43 siteseki kabisa kupata tena popote pale, japo nina pea chache 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…