King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Daaah....kuna demu wangu mmoja alikuwa ananitania kuniambia nina miguu ya kike, kumbe namba yangu ni namba ya wadada wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah....kuna demu wangu mmoja alikuwa ananitania kuniambia nina miguu ya kike, kumbe namba yangu ni namba ya wadada wengi
Solution nunua vyote # 45 na nusu kisha kimoja weka sponjiSasa Mimi Nina 45 kwa 45 na nusu[emoji1787]
Just imagine huo mkiatu halafu sasa Kama mtu ni mfupi anaoneka kavaa mijokeri[emoji3][emoji3]
Bahati nzuri Mimi Ni mrefu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe Ni Kama Mimi tuKiukweli viatu vingi sokoni kwa wanaume ni # 43 kwenda chini
Binafsi navaa 45 samataimu inatokea 44 au 46 inanifit pia
hHzi namba kupata viatu ni shida unaamua kuchukua tu hata usivyovipenda
Wauzaji wengi wanaishi kwa mazoea akiona mtu mfupi wa kimo fasta anakupa #41 huwa siwaelewi
Lakini sio mrefu wa kimoYaani wewe Ni Kama Mimi tu
Miguu mikubwa sana [emoji1787]
Pacha kazi unayo mana kama mie navaa 41 kiatu ikitoka nikichelewa tu kununua basi ntakuta 40 kushuka chini.Hivi kumbe zipo size 45?
Mie 42
HahahahhPacha kazi unayo mana kama mie navaa 41 kiatu ikitoka nikichelewa tu kununua basi ntakuta 40 kushuka chini.
Wewe je si ndio zaidi.
Mi mguu wa kushotokila kiatu huwa lazma kinibane mguu huoHio hata Mimi ninayo mguu mmoja huwa unabana kwa viatu vingi
Huwa navaa nikiwa natembea tu nikiwa nimekaa mahali popote navua kiatu Cha huo mguu
Mara nyingi napendelea viatu visivyo na kamba coz Ni rahisi mno kuvaa na kuvua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kumbe una kamguu sio habaPacha kazi unayo mana kama mie navaa 41 kiatu ikitoka nikichelewa tu kununua basi ntakuta 40 kushuka chini.
Wewe je si ndio zaidi.
Mi mguu wa kulia ndio kiatu hubanaMi mguu wa kushotokila kiatu huwa lazma kinibane mguu huo
Hahahah tupe wengi mkuuMim n mkerewe,lakin mungu alinipa limguu la ksukuma navaa namba 45,napata shda sana kupata kiatu kazur,maviatu makubwa hayanaga shape nzur
Watu tuna 45.5 huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah....kuna demu wangu mmoja alikuwa ananitania kuniambia nina miguu ya kike,kumbeee namba yang ni namba ya wadada wengi
Si haba Mtani.Mtani kumbe una kamguu sio haba
Duuh!! Kuumbe.Hahahahh
Twinnie mie hata 41 huwa navaa,halafu mbona sio kazi saana kupata size 42