Wauzaji wanajua ukikutana na 45 na ni adimu utachukua tu kwa gharama yyte
😂😂😂Sasa Mimi Nina 45 kwa 45 na nusu[emoji1787]
Just imagine huo mkiatu halafu sasa Kama mtu ni mfupi anaoneka kavaa mijokeri[emoji3][emoji3]
Bahati nzuri Mimi Ni mrefu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee[emoji1]
Wanawake wanaovaa namba 41 naona mko wachache sana,hasa huku kwetu Afrika...Hahahahh
Twinnie mie hata 41 huwa navaa,halafu mbona sio kazi saana kupata size 42
Tisa kamili ni 42.5, Tisa unusu ni 43 hiyo 45 unayodhani ni 11Mimi navaa 9 nadhani ndo 45.
Napata shida sana kununua kiatu.