Unavaa size gani ya kiatu?

Unavaa size gani ya kiatu?

Mimi navaa 9 nadhani ndo 45.

Napata shida sana kununua kiatu.
 
Navaa 42.5 na 43 ila sina uvungu. Hivo sendo inabidi nivae kama 41 ili zisichomoke mguuni nikitembea. Ndio walee unakuta tumevaa sendo kisigino kinaninginia kidogo nje, wengine wanapenda ila mimi nalazimika hivo.
 
Namba 42 ila Viatu vyangu vingi vimetoboka pembeni kwenye vidole vidogo vya mwisho.Nina vidole Kama tangawizi.
 
Navaa 44 au 45 sawa tu alaf Mbn raba nzuri zipo za miguu ya 45 kama nike air force,air jordan hata buti la jeje(dr martens shoes). Sema ukiwa na mguu mkubwa raha uwe mref ukiwa mfupi aseeee😔 utakuwa kama wale jamaa wa chuga dance
 
Back
Top Bottom