Unavaa size gani ya kiatu?

Unavaa size gani ya kiatu?

Size 44 ila mguu wa kulia ni mrefu kidogo ukilinganisha na wa kushoto by 5-8 mm .Sasa ukivaa kiatu kipya huwa kinabana mguu mmoja baadae kinakuwa sawa
Hii situation nakutania nayo sana
 
Kuna maumbile ukijikuta unayo unabaki na option moja tu, kupambana uwe tajiri. Kwasababu kiatu size 45 tu kukipata ni changamoto je 45.5 si ndo inabidi uagize kiwandani! Utaweza kweli ukiwa survivor tu kitaa?
Mbona hizo size zipo nyingi tu
 
Nikivaa sandles size 45 basi kwenye layer ya mwisho ya mguu (kisigino) lazima chembe yake iburuze chini
 
Yaani ilibaki kidogo uanze kuchongesha viatu kiwandani, binafsi najikuta navaa viatu vinavyonibana, nilishauria hivi na imenisaidia. kwa sasa navaa 44 au 45.
 
Dooh mtihani ndo upo hapa,,mguu sm 30 upana kwenye vidole pale sm 11 mguu kutafuta kiatu shidaaaa,,mpka uende huko mitumbani ukatafute ngalawa [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom