Unavutiwa na video za directors gani wa muziki hapa Afrika?

NEZZOH MONTANA, RICKY BEKKO, DARLINGTON, DANIEL ARE, HANSCANA, SESAN, ISAAC YOWMAN, SASHA VYBZ OFCOURSE and CLARENCE PETERS of Capital Dreams Pictures
 
Hivi alie shoot video ya wimbo wa Mejja uitwao Niko Poa,ni nani maana INA comedy sana
 
Kwa africa MR MOE MUSSA aisee huyo pimbi ni shidah!

Marekani kuna pimbi mwengine anaitwa ALEX NAZARI aisee huyo boya ni hatari.
 
HANSCANA anakuja vizuri.
 
Meji alabi

Clarence

DAPS ingawa kazi zake kafanya mamtoni....BAD AND BOUJEE KAITENDEA HAKI.....
 
1:Kuna Mnyamwezi anaitwa Colin Tilley ni hatari huyu mdudu..ka'shoot Coming home ya P Diddy,Body on Me ya Breeze ft Rita Orah,All right na These Walls za Kendrick Lamar,nk.
2πŸ˜€aps
3πŸ˜€irector X
4:Na Machalii wa Puorto Rico ambao waga hawaandikagi majina yao kwenye video walizo'shoot
5:Mr.Moe Mussa
6πŸ˜€irector Nisher
 
kuna Direkta anaitwa Ez Brown huyo ndo anaweza kukalisha madairekta wote bongo hapa, fuatilia kazi zake, anakuja kwa kasi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…