Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwamba nakubali ile video ya Mohombi "coconut tree" kaua sana mule ndani colours na location sasa kama muvi.Director X
Ame "shoot started from the bottom" ya mwamba Drake.
HANSCANA anakuja vizuri.Mimi ni mmoja kati ya watu wanaovutiwa sana na video nzuri za muziki hasa hapa bongo na Africa kwa ujumla. Video zilizopangiliwa kuanzia story au ubora wa picha nk.
Kwangu hawa ni director's wazuri ambao huwa napenda video zao; Clarence Peters. Ni director mkubwa Nigeria ambaye huwa mara nyingi hakosei ktk suala la video bora. Godfather huyu naye sioni kazi zake sikuhizi labda kwasababu hafanyi na wasanii wa Tanzania sana Kama Diamond ambaye alimtumia sana, so far huyu ni director mzuri.
Wengine ni Traveller wa kwetu studio, Sesan, Justin Campos, Hascana na Kenny. Dizaini kama hawana utofauti mkubwa sana kwangu nawaweka levo moja.
Wewe unavutiwa na director's gani?
Aisee nakubaliana na wewe Mkuu angallia video ya Marioo inatosha ni fireAdam Juma remains undefeated....script zinaendana kabisa na kinachoimbwa!
Aisee nakubaliana na wewe Mkuu angallia video ya Marioo inatosha ni fire
Kaongoza video zipi?ebu tutajie ata3kuna Direkta anaitwa Ez Brown huyo ndo anaweza kukalisha madairekta wote bongo hapa, fuatilia kazi zake, anakuja kwa kasi sana.
Marioo - AnyinyaKaongoza video zipi?ebu tutajie ata3