DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Mark 2?GX100 yangu ya 1997 na bado iko bomba. Siiuzi watu wengi washaomba niwauzie nimekataa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mark 2?GX100 yangu ya 1997 na bado iko bomba. Siiuzi watu wengi washaomba niwauzie nimekataa.
Haha nalo kuliuza ni kazi kweli kweli mkuu tena kwa bei ya hasara.Kwa brevis sawa. Nadia ina shida gani mkuu?? Ongeza nyama nyama
Msala huo 😁
Nilishanunua brevis 2m nikauza laki 8Haha nalo kuliuza ni kazi kweli kweli mkuu tena kwa bei ya hasara.
Eeh hilo gari la 2M ni gari! Mkweche?Nilishanunua brevis 2m nikauza laki 8
unashangaa hiyo? tembea uone. kuna gari hadi za 60s, 70s na 80s bado zipo Road.Duh gari ya 1996 bado iko road?
trueKuna gari inaitwa Dualis, jamaa yangu mwaka 2020 alinunua mil19, juzi nimekuta kalipush mil8 tena kwa mbinde sana!!!
sawa bdae msiseme hatukuwaambiaUkiona una mawazo ya kununua gari ili baadae uje kuliuza ikitokea unashida basi wewe ni fukara