Daah sipendi kushobokea vitu vinavyotrend..sikujua hili. I wrote it coz ni kit kilikua kichwani mwangu for years. And them woman King just rang a bellUzi mzuri sana Sir👏 .
Something new kutoka kwako naona umezingatia sana "Gender Balance" kama dunia ya leo inavyotaka.
Umenifurahisha sana ulivyoflow na Trend coz "Trend is a Friend", kwanzia kwenye past days, gender equality hadi kwenye current movies.
Best wishes Sir🙏
Wow,Daah sipendi kushobokea vitu vinavyotrend..sikujua hili. I wrote it coz ni kit kilikua kichwani mwangu for years. And them woman King just rang a bell
Ulikua na madem mkuuWow,
Ni vizuri na ni Jambo la busara kuongea na kuisikiliza sauti ndogo iliyomo ndani mwetu, inayopenda kusema nasi kila mara. Lakini most of the time tunafanya ku-ignore.
Na regret kukosa front site katika uzi huu even though ulinitag, sijui nilikua na zurura wapi Sir?
Hakuna watu ninao waheshimu na kuwaogopa kama ''Madem''Ulikua na madem mkuu
THE WOMAN KING 2022 MOVIE
Kuhusu suala la Homosexuality ukweli mchungu ni kua hatuwezi kulizuia. Time will tellHakuna watu ninao waheshimu na kuwaogopa kama ''Madem''
Hakika mwanamama Viola Davies ameitendea haki movie hii, kwanzia kwenye kuvaa uhusika hadi kwenye body language ya mwili wake. Nampa rate 9/10.
All in all imechezwa vizuri sana japo kuna agenda ndogo ndogo zinajaribu kupenyeshwa kwa jamii zetu za Kiafrika kupitia Moviez ambazo wanakuwa wanacheza Black People wenzetu either wanakuwa na Uraia wa Afrika or Wamataifa mengine. Sina shida na agenda ya Feminism ambayo imepewa nafasi kubwa sana kwenye movie hii, bali hii agenda ya Homosexuality imepenyeshwa taratibu kwenye movie hii kupitia kwa Mshauri wa Mfalme ''John Boyega'' Hapana nasema kwangu ni ''Big No'.
Wafrika tuwemakini kwenye kuiga.
Kuiga si vibaya bali tuige vitu vya maana na tija kwa personal development na kizazi kijacho.
Eeeh Mwenyezi Mungu tunaomba utusaidie.Kuhusu suala la Homosexuality ukweli mchungu ni kua hatuwezi kulizuia. Time will tell
Kama unabii unatimia kwa style hii, bora Mwenyezi Mungu anichukue mapema kabla mambo hayajachanganya vizuri.These things are prophesied prophet, are cursed to appear..In a near end of the world
AbsurdKama unabii unatimia kwa style hii, bora Mwenyezi Mungu anichukue mapema kabla mambo hayajachanganya vizuri.
Imagine unapishana na dume lenzako njiani limevaa na kujiremba kama mwanamke.
Wewe kama Mwanaume, how do you feel it Sir🙏?
Okay Sir'Absurd
I despise homosexuality!
Ila hayo yote hayana budi kutokea, Yohana aliyafunuliwa hayo 2000yrs ago
Ana miaka 30 ila hapa ana miaka 19.Amazon Woman japo ni miaka 3 toka nilipotoa ahadi hii ila nikiahidi kitu hua natimiza no matter muda gani utapita coz I don't forget my promises.
I hope you'll like it ✌️
Cc
Ryan Holiday
View attachment 2600626View attachment 2600627
Unaangaliaga muvi za netflix hasa zile zinazohusu teenagers wakiwa shule. Unakuta kijana ni mkubwa anasoma eti anamiaka 16-17. Nikawa najiuliza wazungu wanakula nini? Kumbe wengi wanakua wapo 20sAna miaka 30 ila hapa ana miaka 19.
Huku kwetu director ndio anachagua muigizaji kama ni demu wake au anaangalia mwenye mvuto badala ya kipaji. Lakini huko kwenye makumpuni ya utengenezaji muvi unakuta kuna department maalum ya kuCast waigizaji.Wenzetu wanapotaka kucheza movie wanaandika story then anatafutwa mtu atayefit kukaa na si kuanza kulazimisha muigizaji flani lazima acheze ndio maana anaweza ibuliwa muigizaji mpya kabisa coz unakuta wamemuona tu mtu wakaona anawafaa.
Wenzetu kazi zimenyooka sana.
Woman king moja movie kali sana.
Huku akiwa na makalio makubwa basi hata kama hafit hapo.Unaangaliaga muvi za netflix hasa zile zinazohusu teenagers wakiwa shule. Unakuta kijana ni mkubwa anasoma eti anamiaka 16-17. Nikawa najiuliza wazungu wanakula nini? Kumbe wengi wanakua wapo 20s
Huku kwetu director ndio anachagua muigizaji kama ni demu wake au anaangalia mwenye mvuto badala ya kipaji. Lakini huko kwenye makumpuni ya utengenezaji muvi unakuta kuna department maalum ya kuCast waigizaji.
Mfano Marvel Studio kuna mtu anaitwa Sarah Harley Finn, ndio anahusika na department ya kuCast waigizaji. Unless producer mkuu awe ana chaguo lake au Director aseme anamtaka mtu fulani acheze character fulani
Kama tamthilia ya Siri za familia, ilisifika kwa kua na wadada wenye shebu kali ila sio wadada wenye kuNeil acting.Huku akiwa na makalio makubwa basi hata kama hafit hapo.
Netflix wanafeli sana katika hili unakuta character ana asili ya nchi fulani ila wao wanachukua muigizaji kutoka sehemu nyingine kabisa. Mfano Series ya Narcos Inayomuhusu Pablo Escobar ilitakiwa acheze mtu kutoka Colombia hukohuko ila akachukuliwa muigizaji kutoka Brazil, Wagner Moura. Japo aliitendea haki character ya pablo escobar hata kiumuonekano walikua sawa. Ila ingependeza kama angecheza mtu kutoka Colombia.Unajua naamini unapotengeneza story kuna mpaka jinsi cast unataka aweje. Sasa hapo ukishakuwa na picha aweje baadae ni kazi ya kumtafuta.
Mipango ya watu tu, waliandika vistori kukuandaa kisaikolojia.Absurd
I despise homosexuality!
Ila hayo yote hayana budi kutokea, Yohana aliyafunuliwa hayo 2000yrs ago
Daah unahoja. Hua nahisi memgine ni stori za kutupumbaza wenyewe wakipiga helaMipango ya watu tu, waliandika vistori kukuandaa kisaikolojia.
Walioandaa ndio wanaopigia chapuo kwa kuwa muda umefika. Kwa kuwa ni maandalizi ya muda mrefu ni kweli hatuwezi kuzuia tena.
Hakuna mwisho wa dunia uliopangwa na Mungu, ni wapuuzi wakikamilisha mipango yao wanatulipua wanasepa. Umewahi kujiuliza wanafuata nini huko sayari zingine?