Hakuna watu ninao waheshimu na kuwaogopa kama ''Madem''
Hakika mwanamama Viola Davies ameitendea haki movie hii, kwanzia kwenye kuvaa uhusika hadi kwenye body language ya mwili wake. Nampa rate 9/10.
All in all imechezwa vizuri sana japo kuna agenda ndogo ndogo zinajaribu kupenyeshwa kwa jamii zetu za Kiafrika kupitia Moviez ambazo wanakuwa wanacheza Black People wenzetu either wanakuwa na Uraia wa Afrika or Wamataifa mengine. Sina shida na agenda ya Feminism ambayo imepewa nafasi kubwa sana kwenye movie hii, bali hii agenda ya Homosexuality imepenyeshwa taratibu kwenye movie hii kupitia kwa Mshauri wa Mfalme ''John Boyega'' Hapana nasema kwangu ni ''Big No'.
Wafrika tuwemakini kwenye kuiga.
Kuiga si vibaya bali tuige vitu vya maana na tija kwa personal development na kizazi kijacho.