Unawafahamu wanawake wa Amazon?

Unawafahamu wanawake wa Amazon?

Uzi mzuri sana SiršŸ‘ .

Something new kutoka kwako naona umezingatia sana "Gender Balance" kama dunia ya leo inavyotaka.
Umenifurahisha sana ulivyoflow na Trend coz "Trend is a Friend", kwanzia kwenye past days, gender equality hadi kwenye current movies.

Best wishes SiršŸ™
Daah sipendi kushobokea vitu vinavyotrend..sikujua hili. I wrote it coz ni kit kilikua kichwani mwangu for years. And them woman King just rang a bell
 
Daah sipendi kushobokea vitu vinavyotrend..sikujua hili. I wrote it coz ni kit kilikua kichwani mwangu for years. And them woman King just rang a bell
Wow,

Ni vizuri na ni Jambo la busara kuongea na kuisikiliza sauti ndogo iliyomo ndani mwetu, inayopenda kusema nasi kila mara. Lakini most of the time tunafanya ku-ignore.

Na regret kukosa front site katika uzi huu even though ulinitag, sijui nilikua na zurura wapi Sir?
 
Ulikua na madem mkuu
Cc.
FlyingDutchman
 
Ulikua na madem mkuu
Hakuna watu ninao waheshimu na kuwaogopa kama ''Madem''
THE WOMAN KING 2022 MOVIE
Hakika mwanamama Viola Davies ameitendea haki movie hii, kwanzia kwenye kuvaa uhusika hadi kwenye body language ya mwili wake. Nampa rate 9/10.

All in all imechezwa vizuri sana japo kuna agenda ndogo ndogo zinajaribu kupenyeshwa kwa jamii zetu za Kiafrika kupitia Muvi ambazo wanakuwa wanacheza watu weusi wenzetu either wanakuwa na Uraia wa Afrika or Wamataifa mengine. Sina shida na agenda ya Feminism ambayo imepewa nafasi kubwa sana kwenye movie hii, bali hii agenda ya Homosexuality imepenyeshwa taratibu kwenye movie hii kupitia kwa Mshauri wa Mfalme ''John Boyega''.

Wafrika tuwe makini kwenye kuiga.
Kuiga si vibaya bali tuige vitu vyenye tija kwa maendeleo binafsi na jamii Kwa ujumla.​
 
Hakuna watu ninao waheshimu na kuwaogopa kama ''Madem''

Hakika mwanamama Viola Davies ameitendea haki movie hii, kwanzia kwenye kuvaa uhusika hadi kwenye body language ya mwili wake. Nampa rate 9/10.

All in all imechezwa vizuri sana japo kuna agenda ndogo ndogo zinajaribu kupenyeshwa kwa jamii zetu za Kiafrika kupitia Moviez ambazo wanakuwa wanacheza Black People wenzetu either wanakuwa na Uraia wa Afrika or Wamataifa mengine. Sina shida na agenda ya Feminism ambayo imepewa nafasi kubwa sana kwenye movie hii, bali hii agenda ya Homosexuality imepenyeshwa taratibu kwenye movie hii kupitia kwa Mshauri wa Mfalme ''John Boyega'' Hapana nasema kwangu ni ''Big No'.

Wafrika tuwemakini kwenye kuiga.
Kuiga si vibaya bali tuige vitu vya maana na tija kwa personal development na kizazi kijacho.​
Kuhusu suala la Homosexuality ukweli mchungu ni kua hatuwezi kulizuia. Time will tell
 
These things are prophesied prophet, are cursed to appear..In a near end of the world
Kama unabii unatimia kwa style hii, bora Mwenyezi Mungu anichukue mapema kabla mambo hayajachanganya vizuri.

Imagine unapishana na dume lenzako njiani limevaa na kujiremba kama mwanamke.

Wewe kama Mwanaume, how do you feel it SiršŸ™?
 
Absurd
I despise homosexuality!
Ila hayo yote hayana budi kutokea, Yohana aliyafunuliwa hayo 2000yrs ago
 
Amazon Woman japo ni miaka 3 toka nilipotoa ahadi hii ila nikiahidi kitu hua natimiza no matter muda gani utapita coz I don't forget my promises.
I hope you'll like it āœŒļø
Cc
Ryan Holiday
View attachment 2600626View attachment 2600627
Ana miaka 30 ila hapa ana miaka 19.

Wenzetu wanapotaka kucheza movie wanaandika story then anatafutwa mtu atayefit kukaa na si kuanza kulazimisha muigizaji flani lazima acheze ndio maana anaweza ibuliwa muigizaji mpya kabisa coz unakuta wamemuona tu mtu wakaona anawafaa.

Wenzetu kazi zimenyooka sana.

Woman king moja movie kali sana.
 
Ana miaka 30 ila hapa ana miaka 19.
Unaangaliaga muvi za netflix hasa zile zinazohusu teenagers wakiwa shule. Unakuta kijana ni mkubwa anasoma eti anamiaka 16-17. Nikawa najiuliza wazungu wanakula nini? Kumbe wengi wanakua wapo 20s
Wenzetu wanapotaka kucheza movie wanaandika story then anatafutwa mtu atayefit kukaa na si kuanza kulazimisha muigizaji flani lazima acheze ndio maana anaweza ibuliwa muigizaji mpya kabisa coz unakuta wamemuona tu mtu wakaona anawafaa.

Wenzetu kazi zimenyooka sana.

Woman king moja movie kali sana.
Huku kwetu director ndio anachagua muigizaji kama ni demu wake au anaangalia mwenye mvuto badala ya kipaji. Lakini huko kwenye makumpuni ya utengenezaji muvi unakuta kuna department maalum ya kuCast waigizaji.
Mfano Marvel Studio kuna mtu anaitwa Sarah Harley Finn, ndio anahusika na department ya kuCast waigizaji. Unless producer mkuu awe ana chaguo lake au Director aseme anamtaka mtu fulani acheze character fulani
 
Unaangaliaga muvi za netflix hasa zile zinazohusu teenagers wakiwa shule. Unakuta kijana ni mkubwa anasoma eti anamiaka 16-17. Nikawa najiuliza wazungu wanakula nini? Kumbe wengi wanakua wapo 20s

Huku kwetu director ndio anachagua muigizaji kama ni demu wake au anaangalia mwenye mvuto badala ya kipaji. Lakini huko kwenye makumpuni ya utengenezaji muvi unakuta kuna department maalum ya kuCast waigizaji.
Mfano Marvel Studio kuna mtu anaitwa Sarah Harley Finn, ndio anahusika na department ya kuCast waigizaji. Unless producer mkuu awe ana chaguo lake au Director aseme anamtaka mtu fulani acheze character fulani
Huku akiwa na makalio makubwa basi hata kama hafit hapo.

Unajua naamini unapotengeneza story kuna mpaka jinsi cast unataka aweje. Sasa hapo ukishakuwa na picha aweje baadae ni kazi ya kumtafuta.
 
Huku akiwa na makalio makubwa basi hata kama hafit hapo.
Kama tamthilia ya Siri za familia, ilisifika kwa kua na wadada wenye shebu kali ila sio wadada wenye kuNeil acting.
Unajua naamini unapotengeneza story kuna mpaka jinsi cast unataka aweje. Sasa hapo ukishakuwa na picha aweje baadae ni kazi ya kumtafuta.
Netflix wanafeli sana katika hili unakuta character ana asili ya nchi fulani ila wao wanachukua muigizaji kutoka sehemu nyingine kabisa. Mfano Series ya Narcos Inayomuhusu Pablo Escobar ilitakiwa acheze mtu kutoka Colombia hukohuko ila akachukuliwa muigizaji kutoka Brazil, Wagner Moura. Japo aliitendea haki character ya pablo escobar hata kiumuonekano walikua sawa. Ila ingependeza kama angecheza mtu kutoka Colombia.

Katika hili Marvel Studio nawapongeza sana wapo vizuri katika kuweka mkazo wa Ethnicity ya mtu. Mfano, Series ya Echo, inamuhusu character maya lopez mwenye uziwi na asili ya native america. Wakamchukua Alqua Cox naye ni kiziwi mwenye asili ya native american.

Hivyo hivyo kwa character za American Chavez, Ghost Rider, nk
 
Absurd
I despise homosexuality!
Ila hayo yote hayana budi kutokea, Yohana aliyafunuliwa hayo 2000yrs ago
Mipango ya watu tu, waliandika vistori kukuandaa kisaikolojia.

Walioandaa ndio wanaopigia chapuo kwa kuwa muda umefika. Kwa kuwa ni maandalizi ya muda mrefu ni kweli hatuwezi kuzuia tena.

Hakuna mwisho wa dunia uliopangwa na Mungu, ni wapuuzi wakikamilisha mipango yao wanatulipua wanasepa. Umewahi kujiuliza wanafuata nini huko sayari zingine?
 
Daah unahoja. Hua nahisi memgine ni stori za kutupumbaza wenyewe wakipiga hela
 
Back
Top Bottom