Ndugu yangu haya mabo yapo omba Mungu akuhepushilie mbali unaweza kutolewa kafara wewe..Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Nakazia 🔨Ndugu yangu haya mambo yapo omba Mungu akuhepushilie mbali unaweza kutolewa kafara wewe..
DuhMimi namjua mmoja alikua rafiki wa mama yangu utajiri wake ni wa kutumia nyota za wafanyakazi wake
Ila ilipofika mwaka 2018 ikabidi amtoe mtoto wake na akafanya hivyo
Ashawahi kumshawishi mama yangu ajiunge huko mama akakimbia nduki na urafiki ukaisha.
Alikuja dar kama housegirl kutoka Upareni ila sasa hivi ni tajiri.
Kiingereza Cha nn mkuuUchawi/viini macho sidhani kama huwa vinaacha ushahidi anuai wa kutolea vielelezo vya kufanyika.Those people are too clever & trickier to ones mind,hence playing a fool!
Ndio mpaka useme Upareni jamani.Mimi namjua mmoja alikua rafiki wa mama yangu utajiri wake ni wa kutumia nyota za wafanyakazi wake
Ila ilipofika mwaka 2018 ikabidi amtoe mtoto wake na akafanya hivyo
Ashawahi kumshawishi mama yangu ajiunge huko mama akakimbia nduki na urafiki ukaisha.
Alikuja dar kama housegirl kutoka Upareni ila sasa hivi ni tajiri.
Utaamini siku nikikufanya msukule wa kufanikisha miradi yangu ,taja jina lako kamili nikunyooshe uwe msukule wangu ili uamini kwamba uchawi na kafara vipoMojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Ni mbwembwe na maringo yangu tu kuwaringishia wengine. Ada niliyotoa kwa Ras Simba inaniuma sana.Kiingereza Cha nn mkuu
Tuliishi Nyumba Maeneo Ya Kimara...Ile Nyumba Ni Kubwa na wapangaji Wengi.Sasa Mmiliki Wa Ile Nyumba Alikuwa Na Ndugu Yake Wa Damu Kabisa ni Ka Chizi Amewehuka.Yule bwana ndie aliekuwa ametolewa Chambo Kulinda Ule Utajiri.Hizo ni propaganda tu , kila mtu atakuambia amesikia na aliye mwambia nae kasikia.
Kwa hiyo kila mwenye matatizo ya akili ni chambo? Wewe ulijuaje?Tuliishi Nyumba Maeneo Ya Kimara...Ile Nyumba Ni Kubwa na wapangaji Wengi.Sasa Mmiliki Wa Ile Nyumba Alikuwa Na Ndugu Yake Wa Damu Kabisa ni Ka Chizi Amewehuka.Yule bwana ndie aliekuwa ametolewa Chambo Kulinda Ule Utajiri.
Usiombe ufanikiwe kibiashara halafu bahati mbaya upate mtoto ana mtindio wa ubogo au ulemavu.Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Au mzazi afe halafu baada ya mda kidogo umefanya jambo ambalo hapo mtaani kwenu watu wanaona ni ngumu kulifanya la kimaendeleo .Usiombe ufanikiwe kibiashara halafu bahati mbaya upate mtoto ana mtindio wa ubogo au ulemavu.
Wewe tayari jamii itasema umemfanya msukule.