Famous Gemini
Member
- Sep 9, 2024
- 80
- 162
Lisemwalo Kwa Kurudiwa Rudiwa Basi Lina Kitu Ndani Yake.Tena Unaposikia Kwa Watu WazimaKwa hiyo kila mwenye matatizo ya akili ni chambo? Wewe ulijuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisemwalo Kwa Kurudiwa Rudiwa Basi Lina Kitu Ndani Yake.Tena Unaposikia Kwa Watu WazimaKwa hiyo kila mwenye matatizo ya akili ni chambo? Wewe ulijuaje?
Fafanua kivip majengo marefu hujengwa na Damu Za WatuI did it and I made it .
Huwa nashangaa MTU anapokubali kuwa masikini while kuna njia nyingi za kufanikiwa.
Altar
Sacrifice
Is real .
Majengo yote marefu yamejengwa na damu za WATU .
Kinachowakwamisha WATU ni ile kutoelewa code
Kabisa mkuu jamii masikini zinaamini sana mambo haya.Au mzazi afe halafu baada ya mda kidogo umefanya jambo ambalo hapo mtaani kwenu watu wanaona ni ngumu kulifanya la kimaendeleo .
Umeogopa na kudhani zege walilojengea ghorofa lilichanganyiwa damu mkuu?Fafanua kivip majengo marefu hujengwa na Damu Za Watu
Amini unavyo amini.Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Sio kila lisemwalo lipo watu wanaweza kusema uongo na uzushi tu , ukweli unahitaji uthibitisho.Lisemwalo Kwa Kurudiwa Rudiwa Basi Lina Kitu Ndani Yake.Tena Unaposikia Kwa Watu Wazima
Au mzazi afe halafu baada ya mda kidogo umefanya jambo ambalo hapo mtaani kwenu watu wanaona ni ngumu kulifanya la kimaendeleo
Kabisa.. Vinginevyo utabeba lawama zote...Ukiwa tajiri Africa hakikisha ndugu zako, HAWAUMWI, HAWAFI, pia WANAFANIKIWA,....vinginevyo utaambiwa UNAWAROGA, UNAWATOA KAFARA na KUWAIBIA NYOTA,....shity mindset 🚮🚮🚮
Ndio maana watu wengi waliofanikiwa wapenda kuwa na mitaa yao kuishi kiutulivu peke yao, hiyo mitaa hauwezi kukuta uswahili swahili wa kijinga.Kabisa mkuu jamii masikini zinaamini sana mambo haya.
Yani ntu aliyeshindwa jambo anakuwa anatafuta maneno yankujustify kushindwa kwake.
Hapana mkuu..Ila inawezekana wezekana vipiUmeogopa na kudhani zege walilojengea ghorofa lilichanganyiwa damu mkuu?
hizi nchi zetu, ujinga huu umetamalaki sana kiasi cha kuogopesha,...Kabisa.. Vinginevyo utabeba lawama zote...
Kwa hiyo viashiria huwa nini kwamba huyu aliyefariki, aliyepatwa na matatizo ya akili ukubwani au aliyezaliwa nayo wametolewa kafara na sio matatizo ya kawaida tu?Uchawi/viini macho sidhani kama huwa vinaacha ushahidi anuai wa kutolea vielelezo vya kufanyika.Those people are too clever & trickier to ones mind,hence playing a fool!
Mkuu acha tu, na sijui ni lini tutaondokana na hili. Safari yetu ni ndefu sanahizi nchi zetu, ujinga huu umetamalaki sana kiasi cha kuogopesha,...
Bado sijawahi kuwa na vielelezo visivyotia shaka kuhusu kutokea kwa hayo mambo.Huwa nasikia masimulizi tu au ushuhuda ambao nao sina hakika nao.Kwa hiyo viashiria huwa nini kwamba huyu aliyefariki, aliyepatwa na matatizo ya akili ukubwani au aliyezaliwa nayo wametolewa kafara na sio matatizo ya kawaida tu?
Lisemwalo lipo!Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Kutafuta Uthibitisho Katika Inshu Za Mambo Ya Kiroho Inahitaji Juhudi.Kwa Mfano Mtu Anaweza Akawa Mchawi na Ni Kweli Mchawi Kweli Kweli Lakini Hauwezi Kuthibitisha Kirahisi.Mambo Ya Kiroho Ni Mambo Ya Sirini.Sio kila lisemwalo lipo watu wanaweza kusema uongo na uzushi tu , ukweli unahitaji uthibitisho.
Wafanyakazi ambao nyota zao zinatumiwa na huyo mama wanakuaje?Mimi namjua mmoja alikua rafiki wa mama yangu utajiri wake ni wa kutumia nyota za wafanyakazi wake
Ila ilipofika mwaka 2018 ikabidi amtoe mtoto wake na akafanya hivyo
Ashawahi kumshawishi mama yangu ajiunge huko mama akakimbia nduki na urafiki ukaisha.
Alikuja dar kama housegirl kutoka Upareni ila sasa hivi ni tajiri.
HahahahaNi mbwembwe na maringo yangu tu kuwaringishia wengine. Ada niliyotoa kwa Ras Simba inaniuma sana.