Nahisi kuna watu wanakufanyia kubisha ili waone kama matendo yao yatatajwa.
Mambo ya makafara yako kwenye kila jamii. Watu wa Asia hytoa sadaka kwa kuchinja mifugo na kuwapa maskini, n.k. ILa kwa sasa wabongo wamezidi kuchinjana asee! Ndio maana hata hizi ajali mbaya za barabarani serikali inaishia tu kutoa pole.
Hata kwenye miradi mikubwa, kama madaraja korofi kujengwa n.k, kuna namna viungo vya binadamu kama moyo m.k huwekwa ili mizimu iruhusu ujenzi.
Na jamii husika hutambua, na mtu aliyetolewa kafara hujulikana. Miaka ya 80 - 90 walikuwa wanamgonga mhuri kwapani. Hivyo askari au wazee wakikuta mhuri, wanasema ndg wakazike, na uchunguzi unaishia hapo hapo.