N ntahobhi Senior Member Joined Apr 1, 2017 Posts 119 Reaction score 48 Jul 28, 2017 #181 sawariya said: Nadhani hapa mkuu hebu tujue hii nchi iliyotajwa kwenye matendo 13:1 Antiokia iko bara gani? Click to expand... Uko vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
sawariya said: Nadhani hapa mkuu hebu tujue hii nchi iliyotajwa kwenye matendo 13:1 Antiokia iko bara gani? Click to expand... Uko vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
M Mwanitu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,036 Reaction score 594 Jul 29, 2017 #182 Eiyer said: Hivi Waisraeli pamoja na mitume na manabii wa kwenye Biblia ni Wazungu? Click to expand... Umeona wapi mzungu anakuwa na jadi ya kuoza kwa kulipia mahari?
Eiyer said: Hivi Waisraeli pamoja na mitume na manabii wa kwenye Biblia ni Wazungu? Click to expand... Umeona wapi mzungu anakuwa na jadi ya kuoza kwa kulipia mahari?
ulimi waupanga JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 493 Reaction score 1,223 Jul 29, 2017 #183 Ayo yote ukisoma kitabu cha Enoch unapata majibu Sent using Jamii Forums mobile app
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,081 Jul 30, 2017 #184 Kutoka 6: 19 Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi sawasawa na vizazi vyao. 1 Mambo ya Nyakati 24: 30 Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata mbari za baba zao.
Kutoka 6: 19 Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi sawasawa na vizazi vyao. 1 Mambo ya Nyakati 24: 30 Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata mbari za baba zao.