Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?

Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?

So, Allah said be and Isa bin Mariam was? Am I correct?
Mungu alisema "mimba kuwa na mimba ikawa." Na hapo mimba ikachukua mkondo wake na Yesu alizaliwa.

Kwa hiyo kama kawaida yako, You are not correct!

Wewe Ishmael kweli unanipa mashaka. Hivi kweli unaishirikisha akili yako katika kutafakari na kufikiri uwezo wa Mungu?
Na hapo ndio unashindwa kuifahamu ayat hii

Indeed, the example of Jesus to Allah is like that of Adam. He created Him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
Surat 'Ali `Imran [3:59] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
 
Unataka turudie kila siku kitu hicho hicho?

Nini maana ya Allah? Maana yake ni the only true God.

Allah ni Mungu wa Abraham, Moses, Jesus, Muhammad na sote sisi ni waja wa Allah.

Sasa kama hili linakupa shida, niambie Mungu wa Mama yake Yesu ni nani?
Mungu wa Abraham na Moses na Yesu ni yupi?

Kwa nini unakumbatia kufuru Ishmael?
Sio tunarudia, ndio ukeli wenyewe kuwa hakuna aya inayo kusaidia wala kupa ushahid kuwa Allah alisema kwa mdomo wake kuwa yeye ni Mungu.
 
Mungu alisema "mimba kuwa na mimba ikawa." Na hapo mimba ikachukua mkondo wake na Yesu alizaliwa.

Kwa hiyo kama kawaida yako, You are not correct!

Wewe Ishmael kweli unanipa mashaka. Hivi kweli unaishirikisha akili yako katika kutafakari na kufikiri uwezo wa Mungu?
Na hapo ndio unashindwa kuifahamu ayat hii

Indeed, the example of Jesus to Allah is like that of Adam. He created Him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
Surat 'Ali `Imran [3:59] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Nipe aya ambayo Allah anasema kwa Mary, MIMBA KUWA NA MIMBA IKAWA.
 
Sio tunarudia, ndio ukeli wenyewe kuwa hakuna aya inayo kusaidia wala kupa ushahid kuwa Allah alisema kwa mdomo wake kuwa yeye ni Mungu.
Nilishakuuliza Yule alitumwa kupeleka ujumbe kwa Maria juu ya mimba ya Yesu anaitwa nani?

Je alitumwa kumwambia nini?

Je alipomwambia Maria , Yale aliyomwambia yaligeuka kuwa maneno ya yule aliyetumwa kwa Maria au yalibakiwa kuwa ni maneno ya aliyemtuma?

Jibu hayo ili niweze kusaidia vizuri na nikupe ayat.
Kama unataka majibu, once and for all, wacha longo longo. Jibu ili nikupatie ayat.
 
Nipe aya ambayo Allah anasema kwa Mary, MIMBA KUWA NA MIMBA IKAWA.
Aya umeshaisoma hapo, unataka aya ingine?
Ilichobaki ni kuishirikisha akili yako tu na uweke kwa pembeni u-paulo.
 
Nilishakuuliza Yule alitumwa kupeleka ujumbe kwa Maria juu ya mimba ya Yesu anaitwa nani?
Weye si umedai leo kuwa Allah alisema Be pregnant and Mary was pregnant. Vipi tena anatuma watu?

Je alitumwa kumwambia nini?
Gabriel wa Biblia sio Jibril ambaye ni allah incarnate.

Je alipomwambia Maria , Yale aliyomwambia yaligeuka kuwa maneno ya yule aliyetumwa kwa Maria au yalibakiwa kuwa ni maneno ya aliyemtuma?
Wewe kumbe hufahamu maana ya kutumwa.

Jibu hayo ili niweze kusaidia vizuri na nikupe ayat.

Kama unataka majibu, once and for all, wacha longo longo. Jibu ili nikupatie ayat.

The Muslim scripture further says that Allah breathed his Spirit into Mary, evidently with the intention of causing her to get pregnant:
And she who guarded her virginity, so We breathed into her of Our spirit (roohina) and appointed her and her son to be a sign unto all beings. S. 21:91
And Mary, Imran's daughter, who guarded her virginity, so We breathed into her of Our Spirit (roohina), and she confirmed the Words of her Lord and His Books, and became one of the obedient. S. 66:12
The Quran provides further substantiation that Allah's intention behind breathing out his Spirit into her was to cause the virginal conception of Jesus:
And mention in the Book Mary when she withdrew from her people to an eastern place, and she took a veil apart from them; then We sent unto her Our Spirit (roohana) that presented himself to her a man without fault. She said, 'I take refuge in the All-merciful from thee! If thou fearest God' … He said, ‘I am but a messenger come from thy Lord, to give thee a boy most pure. She said, ‘How shall I have a son whom no mortal has touched, neither have I been unchaste?' He said, 'Even so thy Lord has said: "Easy is that for Me; and that We may appoint him a sign unto men and a mercy from Us; it is a thing decreed."' S. 19:16-21
Here, the Spirit appears as a man in order to inform Mary that he has come to give her a pure, faultless son.
It seems pretty certain that Muhammad misunderstood or confused the Biblical story which speaks of God sending forth his angels to announce the virginal conception and birth of the Lord Jesus by the Holy Spirit:
"This is how the birth of Jesus Christ came about: His mother Mary was pledged to be married to Joseph, but before they came together, she was found to be with child through the Holy Spirit. Because Joseph her husband was a righteous man and did not want to expose her to public disgrace, he had in mind to divorce her quietly. But after he had considered this, an angel of the Lord appeared to him in a dream and said, ‘Joseph son of David, do not be afraid to take Mary home as your wife, because what is conceived in her is from the Holy Spirit. She will give birth to a son, and you are to give him the name Jesus, because he will save his people from their sins.'" Matthew 1:18-21
And:
"In the sixth month, God sent the angel Gabriel to Nazareth, a town in Galilee, to a virgin pledged to be married to a man named Joseph, a descendant of David. The virgin's name was Mary. The angel went to her and said, ‘Greetings, you who are highly favored! The Lord is with you.' Mary was greatly troubled at his words and wondered what kind of greeting this might be. But the angel said to her, ‘Do not be afraid, Mary, you have found favor with God. You will be with child and give birth to a son, and you are to give him the name Jesus. He will be great and will be called the Son of the Most High. The Lord God will give him the throne of his father David, and he will reign over the house of Jacob forever; his kingdom will never end.' ‘How will this be,' Mary asked the angel, ‘since I am a virgin?' The angel answered, 'The Holy Spirit will come upon you, and the power of the Most High will overshadow you. So the holy one to be born will be called the Son of God.'" Luke 1:26-35
Muhammad may have mixed up the details and thought that it was the Holy Spirit who both came to Mary and caused her to supernaturally conceive. Whatever the case, it is clear that Muhammad believed that Allah's Spirit has the power to create and is the agent or breath of life, the one through whom Allah imparts life to his creatures.
 
Kwisha habari yako.

Ayat hii ndio inakufanya uweweseke?

She said, "My Lord, how will I have a child when no man has touched me?" [The angel] said, "Such is Allah ; He creates what He wills. When He decrees a matter, He only says to it, 'Be,' and it is.
Quran 3:47

Haya Ishamel, uinywe tu juisi ya pilipili.
 
Last edited by a moderator:
Najua umeiona ayat, na umeona nuru/mwanga umekupiga machoni umeamua kujifanya kipofu.

Umetaka aya, sasa waoneshe hiyo ayat kondoo za bwana.
Allah never said to Mary what you construed.
 
Kwisha habari yako.

Ayat hii ndio inakufanya uweweseke?

She said, "My Lord, how will I have a child when no man has touched me?" [The angel] said, "Such is Allah ; He creates what He wills. When He decrees a matter, He only says to it, 'Be,' and it is.
Quran 3:47

Haya Ishamel, uinywe tu juisi ya pilipili.
Kwisha habari yako mwenyewe. Kumbe Jibril ni Allah. Huu ni msiba kwako.

Last edited by a moderator:
Najua umeiona ayat, na umeona nuru/mwanga umekupiga machoni umeamua kujifanya kipofu.

Umetaka aya, sasa waoneshe hiyo ayat kondoo za bwana.
Kijana itabidi ujifunze kwanza nini maana ya Uislam na ulianzia wapi. Gonga hapa mwanawane...HAPA uone vituko na viroja ndani ya Uislam.
 
Nilishakuuliza Yule alitumwa kupeleka ujumbe kwa Maria juu ya mimba ya Yesu anaitwa nani?

Je alitumwa kumwambia nini?

Je alipomwambia Maria , Yale aliyomwambia yaligeuka kuwa maneno ya yule aliyetumwa kwa Maria au yalibakiwa kuwa ni maneno ya aliyemtuma?

Jibu hayo ili niweze kusaidia vizuri na nikupe ayat.
Kama unataka majibu, once and for all, wacha longo longo. Jibu ili nikupatie ayat.

Chimbuko la Uislam
Ili kuweza kufahamu chimbuko halisi la Uislam inafaa kuyafahamu mazingira ya Uarabuni kabla ya Uislam, mtu aliyeitwa Muhammad na historia ya mwanzo ya Uislam. Elimu kale (akiolojia), Kurani na Hadithi vina mengi ya kusimlia ambayo watu wengi wanaweza kuwa hawajui.
Maka kabla ya Muhammad
...Continue Reading

Well, japo ni thread ya zamani..... Lakini pia msimsahau SIMONI MKIRENE, (Yule aliyemsaidia Yesu Msalaba) huyu alikuwa Mwafrika toka Cyrene... Libya ya sasa na alikuwa ni mpagazi aliyekwenda kufanya day- work mashariki ya kati!!
 
Kwisha habari yako mwenyewe. Kumbe Jibril ni Allah. Huu ni msiba kwako.
Sikujua kuwa yule aliyetumwa kupeleka ujumbe kwa Bikira Maria kuwa atapata mimba na kuzaa mtoto wa kiume alikuwa ndio Mungu.
Kwa hiyo , Ishmael una miungu nne?

God sent the angel Gabriel to Nazareth, a city in Galilee. 27 The angel went to a virgin promised in marriage to a descendant of David named Joseph. The virgin's name was Mary.
28 When the angel entered her home, he greeted her and said, "You are favored by the Lord! The Lord is with you."
29 She was startled by what the angel said and tried to figure out what this greeting meant.
30 The angel told her,
"Don't be afraid, Mary. You have found favor[a] with God.
31 You will become pregnant, give birth to a son,
and name him Jesus.

Je Angel Gabriel ni Mungu?

Hivi ni mpaka lini utaendelea kudanganya kondoo za bwana?

Well, japo ni thread ya zamani..... Lakini pia msimsahau SIMONI MKIRENE, (Yule aliyemsaidia Yesu Msalaba) huyu alikuwa Mwafrika toka Cyrene... Libya ya sasa na alikuwa ni mpagazi aliyekwenda kufanya day- work mashariki ya kati!!

Hivi wewe unaamini Yesu alisulubiwa? Yesu alikufa kifo cha laana?
Au Biblia inasemaje kuhusu kifo cha msalabani, dugu?
 
Back
Top Bottom