garikicah
Member
- Oct 29, 2010
- 71
- 18
Hivi Waisraeli pamoja na mitume na manabii wa kwenye Biblia ni Wazungu?
Waisrael halisi ni weusi kaka hawa wengine wote bi maigizo tu nitaweka thread hapo japo ufunguke macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Waisraeli pamoja na mitume na manabii wa kwenye Biblia ni Wazungu?
Umesomeka mkuu vilivyokwa kifupi tu ! waafrica sisi hasili yetu ni Adam,na sio sisi tu ,ni binaadam wote hao unaowaona hapa ulimweunguni hasili yao africa. ispokuwa basi ,wengine wamebadirika badirika rangi kwa sababu ya hali mbaya ya hewa kipindi hicho wakati shetani alipowangia na kuanza kutambaa na kutafuta makazi sehem tofauti ulimwenguni . serikali za kizungu zinaficha ukweli,lkn watu mitaani huku ulaya wanatambua ilo!! mi nipo ujerumani na naongea sana na baadhi ya watu ambao Mungu amewabariki na wanasema ukweli, lkn kimataifa serikali zinaficha! we fikilia kwanza ,ujuwe wazungu wanachuki nasi mpaka mambo mengine wanatufanyia lkn yanawakomoa wenyewe, kwa mfano, michael jackson amekubali kubadilishwa rangi na illuminaty ili kwa siri sana awatamburishe watu weusi kuwa, watu weupe wote walikuwa weusi zamani. lkn sisi watu weusi tumeshindwa kulifumbua ilo fumbo la michael jackson alilowafumbia wazungu. mi nipo ulaya huku naona, wazungu ni washenzi kweli tena sio masihala ,wanashirikiana na waharabu kuaribu vizazi vya Mungu ukweli. wanasema wanakuja huko kusaidia Africa, wakati huku huku ulaya kuna waafrica wengi hawana kitu na wengine wengi wanalala nje ktk baridi,mvua n.k. cha ajabu ata umaskini pia upo kwao ndugu zao pia mitaani. sasa basi uwa najiuliza, kwann hawa wazungu km kweli wanataka kusaidia africa kwa roho safi,kwann wasitusaidie sisi huku? afu sisi tutarudi nyumbani wenyewe kila wkt kuja kusaidia watu wetu sio au sio bwana, lkn wapi!! msiwajari hawa wzngu, kwani ni wadudu na wanapigana jihadi ya kuangamiza viumbe vya Mungu, lkn siku yao ipo jikoni!!
uzungu na uafrika chimbuko lake haswaa ni tabaka la kijiografia. Kutokana na tofauti za hali ya hewa, mwili wa mwanadamu ulijiadapt ili kukabiliana na hali ya hewa. Ndio maana mimi naamini Yesu alikuwa mweusi na sio mzungu kwa sababu asili yake na wazazi wake ni sehemu yenye jua kali
wanafaham vema sana kuwa hawa waisraeli wa sasa ni feki na watu wslioandikiwa/andika biblia ni weusi angalia hii.Waisrael halisi ni weusi kaka hawa wengine wote bi maigizo tu nitaweka thread hapo japo ufunguke macho.
umeongea vizuri mkuu. pia ikumbukwe kwamba mnara wa baberi ndio chanzo cha lugha nyingi duniani ni mnara huo di ulikuwa huku huku Africa. ooh! mama Aftica najisifu kuzaliwa Africa.
nimependa uchambuzi wako.. Naomba kukuuliza hivi tunda la katikati alilokula adamu ni lipi, maana huku mitaani kuna maneno mengi .
wanafaham vema sana kuwa hawa waisraeli wa sasa ni feki na watu wslioandikiwa/andika biblia ni weusi angalia hii.
Waisrael halisi ni weusi kaka hawa wengine wote bi maigizo tu nitaweka thread hapo japo ufunguke macho.
Jesus is God, the one you call him Allah, in contrast, Allah of the Quran is not God of the Bible.Pale kwenye Ka-blog iko hiyo na hapa JF unairudia rudia. Je unaikana sasa?
Is Jesus Allah according to Quran?
Ishmael,I challenge you to answer this question.
Are you not full of it?
Do you just write things to fool those kondoo wa bwana?
It means Jesus is the Son of God. Do you know why?Link If Jesus was a Jew, why are we Catholic? | Catholic Answers
Unaweza kuueleza umma na kondoo wa bwana , vipi Mungu anaumba?
Link The Story of Jesus and Mary in the Holy Quran (part 1 of 3): Mary - The Religion of Islam
Link The Christmas Story of the Birth of Jesus
Hii maana yake ni nini? Fafanua.
The angel explained that the child within Mary was conceived by the Holy Spirit,
NI kweli Mungu wa kwenye Quran si Yesu.Jesus is God, the one you call him Allah, in contrast, Allah of the Quran is not God of the Bible.
Jesus is not a son a God. Mungu amemuumba Yesu. Mungu anapoumba husema tu "Be and it is". Na katika hali hiyo ndio ameumbwa Yesu. Yesu katika usahihi wake ni mtoto wa Bikira Maria/mu na ni mjumbe/ mtumwa/ mtume wa Allah.It means Jesus is the Son of God. Do you know why?
So, Allah said be and Isa bin Mariam was? Am I correct?Jesus is not a son a God. Mungu amemuumba Yesu. Mungu anapoumba husema tu "Be and it is". Na katika hali hiyo ndio ameumbwa Yesu. Yesu katika usahihi wake ni mtoto wa Bikira Maria/mu na ni mjumbe/ mtumwa/ mtume wa Allah.
Mungu anasema wazi hapa. link Surat Al-'Ikhlas - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Na kama unasisitiza kuwa wapo watoto wa Mungu kwenye biblia basi haina maana hiyo unayotaka kuwaaminisha kondoo za bwana. Watoto wa Mungu ina maana ya watu wachaMungu ( Walio karibu na Mungu). Ni wazi Paulo haingii katika kundi la watoto wa Mungu.
Because Allah of the Quran is not God and never said he was God.NI kweli Mungu wa kwenye Quran si Yesu.
Vile vile Mungu wa kwenye Agano la kale si Yesu.
Pia Mungu wa kwenye Agano jipya si Yesu lakini kuna baadhi ya ngano za Paulo zinazosema kuwa Yesu ni Mungu. Yesu menyewe hajawahi sema popote kuwa ni Mungu. Na anaonekana na matendo yake ni ya binadamu aliyetumwa na Mungu.(Allah).
John 12:49 For I did not speak on my own, but the Father who sent me commanded me to say all that I have spoken.
Matthew 26:39 Going a little farther, he fell with his face to the ground and prayed, "My Father, if it is possible, may this cup be taken from me. Yet not as I will, but as you will."
Matthew 27:46 About three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, "Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").
Mungu wa Yesu ni nani hapo kwenye Matthew 27:46
Link http://www.quranitukufu.net/Biblia/index.htm
Unataka kujifanya kama Paulo cunning all the way.So, Allah said be and Isa bin Mariam was? Am I correct?
Unataka turudie kila siku kitu hicho hicho?Because Allah of the Quran is not God and never said he was God.