ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mungu ni wa wote wenye mwili kwanini asitujue wakaiti ametuumba?
yeye ameweka tu rangi kuwa hawa bara hili wawe rangi nyeupe na hawa wa bara lile wawe rangi nyeusi ni mapamobo yake tu hayo
yeye ameweka tu rangi kuwa hawa bara hili wawe rangi nyeupe na hawa wa bara lile wawe rangi nyeusi ni mapamobo yake tu hayo
Asante sana SONGOKA umeeleza vizuri sana kumbe nasi Mungu anatujua