Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?

brother Ishmael are you still in the "religion or not religion" argument???
To some of you, Christianity is a religion, to some of us who are informed knows that the invisible created the visible, we know that Christianity is not a religion.

Romans 12:2 And be not conformed to this world: but be ye transformed by the renewing of your mind, that ye may prove what is that good, and acceptable, and perfect, will of God.
 
your quotation does not affirm your insinuation, anyway I choose to respect your perception however fake it is.
 
mke wa noah nimeanza na neon "possibly" kwa hivyo sitatoa any evidence but kuhusu uwepo wa waafrica kabla ya noah nakuja na ushahidi in a moment
 
Per Romans 12: 2. You need to renew your mind. How do you do that?
 
ndomana mimi na naamini EDEN na promise land viko Afrika
 
Unalazimisha mambo.

1. Yesu ni Kiswahili
2. Jesus ni Kiingereza
3. Yeshua ni Kiiebrania
4. Yasua ni Kiarabu

SASA HILI LA Eesa ni la wapi kama si la Kimuhammad? Sasa Umuhammadi tokea lini ulikuwa ni Lugha?

Umeshindwa kufungua hiyo link ukajiongezea maarifa? Unataka ligi bila kujitayarisha?

Tri-une imekuchanganya weye!

Tokea lini neno la Mungu ikawa ndio Mungu mwenyewe? Ni mantiki ya ki-Paulo tu inasema Neno litokalo kwa Mungu ndio Mungu.
Kwa maana hiyo Kuna Miungu mingi, kwa sababu Torati ni neno la Mungu, Yesu ni neno la Mungu, Zaburi ni Neno la Mungu, Injili ni neno la Mungu, Quran ni neno la Mungu. Piga mahesabu hapo, Waungu wangapi(miungu mingapi) hao kwa mantiki ya ki-Paulo?
 
To some of you, Christianity is a religion, to some of us who are informed knows that the invisible created the visible, we know that Christianity is not a religion.

Romans 12:2 And be not conformed to this world: but be ye transformed by the renewing of your mind, that ye may prove what is that good, and acceptable, and perfect, will of God.

Link https://carm.org/what-is-christianity
 
Umeshindwa kufungua hiyo link ukajiongezea maarifa? Unataka ligi bila kujitayarisha?

Tri-une imekuchanganya weye!

Tokea lini neno la Mungu ikawa ndio Mungu mwenyewe? Ni mantiki ya ki-Paulo tu inasema Neno litokalo kwa Mungu ndio Mungu.
Kwa maana hiyo Kuna Miungu mingi, kwa sababu Torati ni neno la Mungu, Yesu ni neno la Mungu, Zaburi ni Neno la Mungu, Injili ni neno la Mungu, Quran ni neno la Mungu. Piga mahesabu hapo, Waungu wangapi(miungu mingapi) hao kwa mantiki ya ki-Paulo?
You don't need PhD to comprehend simple things and using all of these muhammadic links, to wit

1. Yesu ni Kiswahili
2. Jesus ni Kiingereza
3. Yeshua ni Kiiebrania
4. Yasua ni Kiarabu

SASA HILI LA Eesa ni la wapi kama si la Kimuhammad? Sasa Umuhammadi tokea lini ulikuwa ni Lugha?
 
Therefore, "What is Christianity?" is best answered by saying that it is a relationship with the true and living God through the person of Jesus Christ by whom we are forgiven of our sins and escape the righteous judgment of God.
Yesu alifuata dini ipi?
Je Yesu alimwabudu Mungu yupi?

Ishmael, Biblia ni neno la Mungu kama Yesu?
 
mke wa noah nimeanza na neon "possibly" kwa hivyo sitatoa any evidence but kuhusu uwepo wa waafrica kabla ya noah nakuja na ushahidi in a moment

Unachomoa polepole.

Kqa kuendekeza mambo ya "possibly", ushajionyesha unaendekeza soeculation.
 
Adam na hawa je! Ni whites au black? Na kama whites swali lang ni weusi umetokana na nini?
 
Yesu alifuata dini ipi?
Je Yesu alimwabudu Mungu yupi?

Ishmael, Biblia ni neno la Mungu kama Yesu?
Jesus had no religion, inter-alia, God does not need religion but relationship with Him. God is our Father and H e needs that relationship of a Father/Child and not Allahic slavery relationship. Muhammad was a SLAVE of Allah.

Jesus is GOD.
 
Daah! Salute kwako.....
 
Historia haijatuacha nyuma waafrica, tulikuwepo toka enzi za noah na tutaendelea kuwepo. Na dunia hii tumeshiriki katika kila hatua ya ujenzi na ubomozi. VIVA Afrika.

Mkuu, awali hongera sana kwa uzi mzuri.

Naomba mkumbuke huyu mheshimiwa aliyetamka maneno haya kwenye biblia

[h=1]Lamentations 5:10King James Version (KJV)[/h]10 Our skin was black like an oven because of the terrible famine.

Ni waafrika (watu weusi) peke yao ambao wanakuwa weusi zaidi kunapotokea baa la njaa. Wazungu huzidi kuwa weupe

cc Eiyer, Mkuu wa chuo, illuh,
 
Last edited by a moderator:
Vipi mtemi mwana marundi alisahaulika ata kwenye kava page tu ....? au hata kumtaja kwenye dibaji.
 
Back
Top Bottom