Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?

Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?

Waafrica hawakutoka Mashariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wametokea Africa.

Hata Wamisri wametoka huku kwetu kusini kwao.

Jaribu kumsoma Cheik Anta Diop, sio kila siku biblia tu.

Tatizo wabongo wengi wakisoma biblia basi ndio wanafikiri wamemaster historia.Ni wachache sana wanamfahamu cheick anta diop
 
Nipitie nini?

Fact gani nimezimis?

utazigundua utapopitia tena huo ushahidi unaoutaja katika post yako niliyo quote mwanzo kabisa. kama unao lakini
 
utazigundua utapopitia tena huo ushahidi unaoutaja katika post yako niliyo quote mwanzo kabisa. kama unao lakini

Hivi wewe unakijua unachokiandika au unakiogopa kwasababu hukijui?

Vitu niandike mimi halafu uniambie nivipitie? Kwa vipi?

Kama kuna mahali unapaona pana matatizo si useme ni sehemu fulani na sio kuzunguka zunguka bila sababu ya msingi?
 
Mkuu kumbe unaelewa good point.Wakoloni walituletea yesu mzungu.lakini ukienda Ethiopia utakuta Yesu wao mwafrika.

Sawa sawa, bwana awe nawe, kuanzia leo yesu mzungu hatumtaki watuletee yesu wetu mweusi,
 
Kumekuwepo na mitazamo kwamba biblia inazungumzia wazungu na sisi waafrica we had nothing to do with the bible na wokovu wa wanadamu (for believers), wala bible haitutaji.

Leo nakuletea watu weusi ( waafrica) wanaotajwa ndani ya bible, na walioshiriki kujenga historia ya Israel, ukristo na umuhimu wao

1. Cush- huyu ndo chimbuko hasa la waafrica, ni mtoto wa ham, na mjukuu wa noah. Inaaminika huyu ndo babaya waafrica wote. Ethiopia wanaamini kuwa wao ni direct descendant wa cush. (Genesis 10:8; 1 Chr. 1:10)

2. Zipporah, huyu alikuwa mke wa moses,ikumbukwe kuwa baada ya moses kumuoa watu walilalamika sana mpaka Mungu akataka kuwaadhibu, kisa tu alikuwa mwafrica. Moses wote tunajua umuhimu wake katika historiaya dunia hii. (Numbers12:1)

3. Shulammite, huyu alikuwa mke wa solomoni, na inaaminika wimbo ulio bora aliandikiwa yeye. Anasifika kwa uzuri wake na ngozi yeke nyeusi nyororo. Binti huyu katuwakilisha vizuri sana waafrika mpaka kaandikiwa wimbo mzuri namna ile. (Song of Solomon 1:5),

4. Queen of sheba, huyu ni malkia aliyemtembelea Solomon ili kuhakiki hekima yake. Malkia huyu alikuwa tajiri na mwenye ukwasi wa ajabu. Katika safari yake alibeba mabag ya manukato,dhahabu, uvumba, na vito mbalimbali. Hii inatudhihirishia kuwa Africa tulikuwa vizuri kitambo sana mafisadi tu ndo wametulostisha. Ukoo wa haile selasie wanaamini kuwa wao ni wajukuu wa mfalme solomoni baada ya kuzaa na bibi yaoqueen of sheba(1 Kings 10:1)

5. Ethiopian eunuch Acts8:37, huyu alikuwa ni mlinzi wa malkia wa Ethiopia ambaye ametajwa kuwa maraika walimtuma filipo amtokee jangwani ili amfafanulie kitabu cha isaya alichokuwa akisoma wakati akisafiri kutoka Israel. Hii inatwambia kuwa kumbe hata kabla ya wamisionary maandiko yalikuwepo Africa na tulikuwa tukiyasoma vizuri tu

6. Simeon a.k.a Niger ( Acts13:1), huyu alikuwa mwafrika tena mweusi kiasi cha watu kuacha kumuita simon tu ila wakampa a.k.a ya simon “niger”. Kwa wanaofahamu simeon ni kati ya watu wa kwanza kabisa kusambaza injili kwa mataifa na kuwa mkuu wa makanisa baada ya Yesu kufa. Kumbe hata sisi waafrica ni kati ya watu walioeneza wakovu sambamba na kina Paulo,silas, na wengineo.
Historia haijatuacha nyuma waafrica, tulikuwepo toka enzi za noah na tutaendelea kuwepo. Na dunia hii tumeshiriki katika kila hatua ya ujenzi na ubomozi. VIVA Afrika.

Let the Bible speak!!!! Wacha biblia iseme. Usiongeze wala kupunguza. Wewe haya maneno umeyatoa wapi? Vipande vya aya uliyotolea maelezo hayafafanui ndani ya aya hizo. Ina maana umeyatoa mahala ambapo si ndani ya aya hizo. Nimefuatilia aya zote hizo (ingawa nazijua toka zamani) lakini hakuna mahala panaposema huo ufafanuzi. Labda ungetoa aya hizo kisha ukatupeleka kwenye maandiko ya mafundisho mengine yanayoeleza kama unavyotaka kutueleza.
Tofautisha biblia na historia inayofafanua maneno katika biblia. Wasomi tupo tunaona unavyotaka kudanganya.
 
kiranga nilikutegemea, karibu!!

but wapi nimesema waafrika tumetoka middle east?????

Ukishaongelea habari za mjukuu wa Noah, kwa authority ya bible, unaongelea Middle East, si Africa
 
We ishmaeli ni mtu wa dini gani sasa?
Shame on you!! Upo kama kinyonga tu
 
Safi sana. Wek ushahidi
UKRISTO SIO DINI

Ukristo ni ushirikina wa Paulo kwa sababu Yesu hakufundisha utatu.

Mafundisho Ya Yesu ni tofauti kabisa na ushirikina wa Paulo.
 
We ishmaeli ni mtu wa dini gani sasa?
Shame on you!! Upo kama kinyonga tu

Yuko katika ile kundi ya kusema "Mungu amejigeuza binadamu". Astaghfiruallah!

Huyu M-Paulo anafanya ibada za kichawi, kula mwili wa bwana na kunya damu ya bwana ili ushirikina uonekane ni jambo jema. Ibada gani, jamani hii ibada ya kula mwili? Ukiwaambia acheni mambo ya kichawi, wanakuja juu.
 
For about 400 yrs, blacks esp. Africans are still being mindf**ked by foreign religion. Once a slave always a slave. Ur so busy tryin to fit in that book. It's not ur manuscript, in that book u don't matter all.in that book ur just a loser who told to must offer a second chick slap. We need to get back our own black original religion that we had before these two limbs walking pigs came to this continent.
 
We ishmaeli ni mtu wa dini gani sasa?
Shame on you!! Upo kama kinyonga tu
Si nimesha sema Ukristo sio Dini.

Tatizo la wengi wenu mmekaririshwa mavitu tokea mzaliwe sasa mnalazimisha mambo.

Mimi nafuata Yesu Mungu ambaye hakuleta Dini hapa duniani. In fact, all of the Bible prophets did not bring any religion on earth.

CHRISTIANS ARE CHRIST FOLLOWERS.
 
Yuko katika ile kundi ya kusema "Mungu amejigeuza binadamu". Astaghfiruallah!

Huyu M-Paulo anafanya ibada za kichawi, kula mwili wa bwana na kunya damu ya bwana ili ushirikina uonekane ni jambo jema. Ibada gani, jamani hii ibada ya kula mwili? Ukiwaambia acheni mambo ya kichawi, wanakuja juu.
Muhammadan, it is sad to know that, your deity is weak and barren. Do you know why Allah has no child? Because Allah is barren despite been married to Allat.

Msiba huu
 
Kitu ni ushirikina wa Paulo tu?

According to Muhammad's own definition of witchcraft, Muhammad was himself guilty of practicing that demonic art. Muhammad defines witchcraft as follows:

Qur'an 113.003 "From the mischievous evil of Darkness as it becomes intensely dark, and from the mischief of those who practice the evil of malignant witchcraft and blowing on knots, and from the mischievous evil of the envier when he covets."

And the Hadith records that Muhammad did these very things:

Bukhari:V7B71N643 "I heard the Prophet saying, ‘If anyone sees something he
dislikes, he should blow three times on his left side and its evil will not harm him.'"
Bukhari:V6B61N535"Whenever the Prophet became ill he used to blow his breath over his body hoping for its blessing." Bukhari:V6B61N536"When the Prophet went to bed he would cup his hands together and blow over them reciting surahs. He would then rub his hands over whatever parts of his body he could reach, starting with his head, face and frontal areas."

Exactly why Muhammad thinks he will be able to beat evil with what he called evil is beyond me. But I would not deny that Muhammad here confesses that he practices witchcraft since the implicit confession is obvious to all without an obvious bias.
 
For about 400 yrs, blacks esp. Africans are still being mindf**ked by foreign religion. Once a slave always a slave. Ur so busy tryin to fit in that book. It's not ur manuscript, in that book u don't matter all.in that book ur just a loser who told to must offer a second chick slap. We need to get back our own black original religion that we had before these two limbs walking pigs came to this continent.
You are dumb and mindless.
 
Ukishaongelea habari za mjukuu wa Noah, kwa authority ya bible, unaongelea Middle East, si Africa

kiranga, kabla ya noah pia kulikuwa na waafrica, possibly mke wa noah alikuwa mwafrica
 
Back
Top Bottom