Unawakumbuka hawa wachezaji?

Unawakumbuka hawa wachezaji?

Selestine sikinde Mbuga, jimmy Morred, Danfod Ngezi. Patrick Betweel Afrika, mbaga Mwintiku na daud kufakunoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Betweel Africa alikua beki wa Tukuyu stars ya Mbeya,Tukuyu stars walipanda daraja kwa mara ya kwanza kucheza ligi daraja la kwanza enzi zile na kuchukua ubingwa,ila msimu uliofuata wakashuka daraja!
 
Kweli mkuu, kulikua na kina Ephraim Kayeta, Stanford Ngesi, Betwel Africa, Abel Kasabalala na wengineo. Mikoani kulikua na vipaji kama hapo Mbeya na Mwanza....pia Kigoma na Tabora na hata pale Dodoma vipaji vilisheheni
 
Chini ya kocha wao Athumani Juma ndani ya 86 hiyo,walichukua point zote 6 Dhidi ya Yanga,waliifunga uwanja wa ugenini 2-1 na uwanja wa Nyumbani Yanga alifungwa 1-0 Kisha walidroo na Simba Dar na kufungwa 1-0 kwao,Walikuwepo wachezaji kina Mbwana makata,Ikulimpa mkoba,Yusuf kamba,Justin mtekele,John alex,Kanza mrisho na Wengineo.
 
KIKOSI CHA TUKUYU STARS 1986:
1. MBWANA MAKATTA
2. ALLY KIMWAGA
3. DANIEL CHUNDU
4. GODWIN ASWILE
5. SULEIMAN MATHEW
6. ASTON PARDON
7. YUSUF KAMBA
8. PETER MWAKIBIBI
9. RICHARD LIMUMBA
10. KELVIN HAULE
11. KARABI MRISHO.
BENCHI: "SUBSTITUTES".
1. SULEIMAN MWANKENJA
2. TAISI MWALYOGA
3. JOHN ALEX
4. SAID MUMBE
5. DANFORD NGESSI

John Alex(Alexander) na Marehemu Justine Nicodemus Mtekere(Mtekele) walikuja kua wachezaji wa kutumainiwa na Yanga wakicheza na kina Edgar Fongo, Abeid Mziba na Makumbi Juma

Mwaka huo huo 1986 pia hali ilikua tete sana kwa wana Msimbazi. Walikua katika hatihati ya kushuka daraja. Ajabu ni kwamba pamoja na ugumu wa Tukuyu Stars Simba ndio timu pekee iliyoifunga uwanja wa Sokoine pale Mbeya. Pia mwaka huo Simba walinusurika kushuka daraja baada ya kuichapa Yanga shamba la bibi bao 2-1
 
KIKOSI CHA TUKUYU STARS 1986:
1. MBWANA MAKATTA
2. ALLY KIMWAGA
3. DANIEL CHUNDU
4. GODWIN ASWILE
5. SULEIMAN MATHEW
6. ASTON PARDON
7. YUSUF KAMBA
8. PETER MWAKIBIBI
9. RICHARD LIMUMBA
10. KELVIN HAULE
11. KARABI MRISHO.
BENCHI: "SUBSTITUTES".
1. SULEIMAN MWANKENJA
2. TAISI MWALYOGA
3. JOHN ALEX
4. SAID MUMBE
5. DANFORD NGESSI

Sent using Jamii Forums mobile app
Yusuph Kamba(white) ni mfupi lakini alikua machachari sanaa. Sasa hivi hua anapatikana sana kwenye kijiwe flani cha kahawa pale Magomeni mapipa karibu stand ya Mwendokasi
 
Kweli mkuu, kulikua na kina Ephraim Kayeta, Stanford Ngesi, Betwel Africa, Abel Kasabalala na wengineo. Mikoani kulikua na vipaji kama hapo Mbeya na Mwanza....pia Kigoma na Tabora na hata pale Dodoma vipaji vilisheheni
Mbaga mwintinku danford ngesi Charles makwaza moses mashoto rashid matunda asilimia kubwa walikuwa mecco ya mbeya
 
Huyu Betweel Africa alikua beki wa Tukuyu stars ya Mbeya,Tukuyu stars walipanda daraja kwa mara ya kwanza kucheza ligi daraja la kwanza enzi zile na kuchukua ubingwa,ila msimu uliofuata wakashuka daraja!
Betwel alikuwa mecco tena mshambuliaji pale kulikuwa na akina rashid mandanje Charles makwaza na naseeb abbas
 
Chini ya kocha wao Athumani Juma ndani ya 86 hiyo,walichukua point zote 6 Dhidi ya Yanga,waliifunga uwanja wa ugenini 2-1 na uwanja wa Nyumbani Yanga alifungwa 1-0 Kisha walidroo na Simba Dar na kufungwa 1-0 kwao,Walikuwepo wachezaji kina Mbwana makata,Ikulimpa mkoba,Yusuf kamba,Justin mtekele,John alex,Kanza mrisho na Wengineo.
Humu kunawahenga kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu Twaha Hamidu "Noriega" alikua beki wa kulia wa kupanda na kushuka wa wana Msimbazi

Twaha Hamidou Noriega amefariki lini? Haiwezekani NORIEGA afariki halafu habari uzipate wewe peke yako.. Twaha hamidou ni beki bora kabisa wa kushoto wa simba na Taifa stars kuwahi kutokea nchini .. yaani afariki habari zake azipate mtu mmoja tu!! . UDUMU SANA NORIEGA nakumbuka aliwavuruga sana stella kwenye mechi ya kwanza ya fainali ya CAF kule Abidjan NORIEGA alikua Moto mwanzo mwisho anapanda na kushuka.. ile sare ya kule ni juhudi binafsi za Noriega .. akaja kuangushwa mechi ya pili na wale top 5 waliohongwa na kuuza mechi ya dar.. udumu NORIEGA najua hujafa!
 
Back
Top Bottom