Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Unguja palikuwa na vipaji toka zama hizo akina Seif bausi akina tomas tohoye tt rajabu rashidi msingida ubwa makame "mzungu "Abdul Wakat Juma wamkumbuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unguja palikuwa na vipaji toka zama hizo akina Seif bausi akina tomas tohoye tt rajabu rashidi msingida ubwa makame "mzungu "Abdul Wakat Juma wamkumbuka?
Ramadhani Korosheni, Ibrahim Carpenter, Issa Hidhr Lambo, Rashid Lato, nk.....kweli kabisa mkuu, Zanzibar mpira ulikua unachezwaUnguja palikuwa na vipaji toka zama hizo akina Seif bausi akina tomas tohoye tt rajabu rashidi msingida ubwa makame "mzungu "
Huyu Betweel Africa alikua beki wa Tukuyu stars ya Mbeya,Tukuyu stars walipanda daraja kwa mara ya kwanza kucheza ligi daraja la kwanza enzi zile na kuchukua ubingwa,ila msimu uliofuata wakashuka daraja!Selestine sikinde Mbuga, jimmy Morred, Danfod Ngezi. Patrick Betweel Afrika, mbaga Mwintiku na daud kufakunoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, kulikua na kina Ephraim Kayeta, Stanford Ngesi, Betwel Africa, Abel Kasabalala na wengineo. Mikoani kulikua na vipaji kama hapo Mbeya na Mwanza....pia Kigoma na Tabora na hata pale Dodoma vipaji vilisheheniHuyu Betweel Africa alikua beki wa Tukuyu stars ya Mbeya,Tukuyu stars walipanda daraja kwa mara ya kwanza kucheza ligi daraja la kwanza enzi zile na kuchukua ubingwa,ila msimu uliofuata wakashuka daraja!
Chini ya kocha wao Athumani Juma ndani ya 86 hiyo,walichukua point zote 6 Dhidi ya Yanga,waliifunga uwanja wa ugenini 2-1 na uwanja wa Nyumbani Yanga alifungwa 1-0 Kisha walidroo na Simba Dar na kufungwa 1-0 kwao,Walikuwepo wachezaji kina Mbwana makata,Ikulimpa mkoba,Yusuf kamba,Justin mtekele,John alex,Kanza mrisho na Wengineo.Kweli mkuu, kulikua na kina Ephraim Kayeta, Stanford Ngesi, Betwel Africa, Abel Kasabalala na wengineo. Mikoani kulikua na vipaji kama hapo Mbeya na Mwanza....pia Kigoma na Tabora na hata pale Dodoma vipaji vilisheheni
John Alex(Alexander) na Marehemu Justine Nicodemus Mtekere(Mtekele) walikuja kua wachezaji wa kutumainiwa na Yanga wakicheza na kina Edgar Fongo, Abeid Mziba na Makumbi JumaChini ya kocha wao Athumani Juma ndani ya 86 hiyo,walichukua point zote 6 Dhidi ya Yanga,waliifunga uwanja wa ugenini 2-1 na uwanja wa Nyumbani Yanga alifungwa 1-0 Kisha walidroo na Simba Dar na kufungwa 1-0 kwao,Walikuwepo wachezaji kina Mbwana makata,Ikulimpa mkoba,Yusuf kamba,Justin mtekele,John alex,Kanza mrisho na Wengineo.
Yusuph Kamba(white) ni mfupi lakini alikua machachari sanaa. Sasa hivi hua anapatikana sana kwenye kijiwe flani cha kahawa pale Magomeni mapipa karibu stand ya MwendokasiKIKOSI CHA TUKUYU STARS 1986:
1. MBWANA MAKATTA
2. ALLY KIMWAGA
3. DANIEL CHUNDU
4. GODWIN ASWILE
5. SULEIMAN MATHEW
6. ASTON PARDON
7. YUSUF KAMBA
8. PETER MWAKIBIBI
9. RICHARD LIMUMBA
10. KELVIN HAULE
11. KARABI MRISHO.
BENCHI: "SUBSTITUTES".
1. SULEIMAN MWANKENJA
2. TAISI MWALYOGA
3. JOHN ALEX
4. SAID MUMBE
5. DANFORD NGESSI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaga mwintinku danford ngesi Charles makwaza moses mashoto rashid matunda asilimia kubwa walikuwa mecco ya mbeyaKweli mkuu, kulikua na kina Ephraim Kayeta, Stanford Ngesi, Betwel Africa, Abel Kasabalala na wengineo. Mikoani kulikua na vipaji kama hapo Mbeya na Mwanza....pia Kigoma na Tabora na hata pale Dodoma vipaji vilisheheni
Betwel alikuwa mecco tena mshambuliaji pale kulikuwa na akina rashid mandanje Charles makwaza na naseeb abbasHuyu Betweel Africa alikua beki wa Tukuyu stars ya Mbeya,Tukuyu stars walipanda daraja kwa mara ya kwanza kucheza ligi daraja la kwanza enzi zile na kuchukua ubingwa,ila msimu uliofuata wakashuka daraja!
Humu kunawahenga kweli kweliChini ya kocha wao Athumani Juma ndani ya 86 hiyo,walichukua point zote 6 Dhidi ya Yanga,waliifunga uwanja wa ugenini 2-1 na uwanja wa Nyumbani Yanga alifungwa 1-0 Kisha walidroo na Simba Dar na kufungwa 1-0 kwao,Walikuwepo wachezaji kina Mbwana makata,Ikulimpa mkoba,Yusuf kamba,Justin mtekele,John alex,Kanza mrisho na Wengineo.
Marehemu Twaha Hamidu "Noriega" alikua beki wa kulia wa kupanda na kushuka wa wana Msimbazi