Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ile mechi sitaisahau. Kutoka 3-0 hadi 3-3Kuhusu kuwapa credit wachezaji wa Liverpool wote walio shiriki mchezo ule maana ukimtaja captain stive utakuwa umewaacha mtu kama alonso mara milan baros huku dudek akifanya yake. Milan mpaka nusu ya kwanza inaisha ubao ukionyesha tatu mtungi waka relax na kujua game imeisha ndio kosa kuu walilolifanya ama kwa hakika it was that night in Istanbul
Umemjibu vema. Hii ilikuwa Liverpool yote ya mapafu ya mbwa ambayo usijihakikishie ushindi kabla mwamuzi hajapuliza filimbi ya mwisho. Sio inakuwa kama ya majaribio. Mara leo inakukosha mara kesho inakuchefua kabisa.Kuhusu kuwapa credit wachezaji wa Liverpool wote walio shiriki mchezo ule maana ukimtaja captain stive utakuwa umewaacha mtu kama alonso mara milan baros huku dudek akifanya yake. Milan mpaka nusu ya kwanza inaisha ubao ukionyesha tatu mtungi waka relax na kujua game imeisha ndio kosa kuu walilolifanya ama kwa hakika it was that night in Istanbul
Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa Milan Baros mpaka leo huwa wananiita jina lake. Huyu jamaa alikuwa fundi ongeza spidi ndo ilikuwa inanikosha kabisa. Umenikumbusha mbali aisee.Mashujaa katika usiku mmoja pale instabul.. karibia wote wanahitaji pongezi kubwa kwa shughuli pevu iliyoongozwa na captain gerrard mwenyewe, baba mwenye nyumba nakumbuka na yeye ndio alikuwa man of the match smicer alianzia bemch nae anastahiki pongezi
Wote wanahitaji pongezi, ila binafsi kwa liver hii nilikiwa nina mapenzi binafsi kwa
Luis garcia... Mie ulikuwa huniambii kitu kwa mtoto huyu wa kihispania
Captain mwenyewe, baba mwenye nyumba steven gerrad
Harry kewell huyu jamaa namzimia toka leeds united ya kina viduka, radebe.. muaustralia aliyekuwa anaujua mpira vyema kabisa
Alonso, sijui nikwambie nini kuhusu huyu fundi.. jamaa alikuwa anaujua mpira mnooooo
Milan baros chzech moja hii, na migulu baja yake..
Umemjibu vema. Hii ilikuwa Liverpool yote ya mapafu ya mbwa ambayo usijihakikishie ushindi kabla mwamuzi hajapuliza filimbi ya mwisho. Sio inakuwa kama ya majaribio. Mara leo inakukosha mara kesho inakuchefua kabisa.
Utakuwa mshabiki wa Man U si bure. Ulifkiri ni sawa na timu yenu Man U ambao walipgwa na Barca mbele ya malkia mpaka babu yenu(Alex) akaugua degedege?ao wanaosifiwa sikioni cha kusifiwa.
Katika prove ya uhakika kama bahati nayo ipo. au ulaya pia kunarogwa ni mechi hii.
Lakini kusema kitu uwezo hilo jambo haliingia akilini kabisa.
Dah! Miaka inakwenda mbio sana.Kinachoniuma sana by now ni kwamba Kocha aliyeifikisha Liverpool hapo sasa anafundisha katimu mbuzi kabisa kwenye EPL[emoji622]
Utakuwa mshabiki wa Man U si bure. Ulifkiri ni sawa na timu yenu Man U ambao walipgwa na Barca mbele ya malkia mpaka babu yenu(Alex) akaugua degedege?
Hiyo unasemea dakika 30 za ziada ndo ACM walishambulia sana na kukosa magoli japo na wao walikoswa. Lakini kipindi cha kwanza baada ya magoli yale ma3 Liverpool walitulia mpaka mapumziko. Kipindi cha pili ndo ACM walisakwa sana mpaka goli zikarudi zote.Ulitizama vizuri mechi au ulishabikia?
Mpira toka unaanza mpaka unamaliza ni upande mmoja. mipira inatambaa mpaka kwenye chaki haiingii. Mbali hujaanza kuchambua wachezaji waliokuemo kwenye uwanja.
Milan na jina langu vinafanana.. awali watu uwanjani walikiwa wakiita thierry henry kichogo, ila hapa wakagawanyika wengine wachache wakawa wananiita milan baros.Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa Milan Baros mpaka leo huwa wananiita jina lake. Huyu jamaa alikuwa fundi ongeza spidi ndo ilikuwa inanikosha kabisa. Umenikumbusha mbali aisee.
Hiyo unasemea dakika 30 za ziada ndo ACM walishambulia sana na kukosa magoli japo na wao walikoswa. Lakini kipindi cha kwanza baada ya magoli yale ma3 Liverpool walitulia mpaka mapumziko. Kipindi cha pili ndo ACM walisakwa sana mpaka goli zikarudi zote.
Hahahahaaaaa! Mashabiki Wa Man U walitumbua sana. Lakini baada ya dakika kama 20 za mwanzo za kipindi cha pili kuna walioondoka, waliobaki midomo wazi, waliolia ndo hao. Kha! Liver ile ilikuwa hatari sana. Sio kama hii inakuwa kama ya majaribio.walitisha sana watu tulizima tv after 45 min tukalala kuamka asubuhi mazungumzo mtaani yamebadilika.