Unawakumbuka mashujaa hawa wa fainali ya UCL jijini, Instanbul 2005

Unawakumbuka mashujaa hawa wa fainali ya UCL jijini, Instanbul 2005

Mikeka kama ilikuwepo kipindi kile basi haikuchanika sana maana liver ndie aliyekuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda, labda ilichanika kwakua game ndani ya dk 90 iliisha kwa droo
Ulaya betting ilianza kitambo na makampuni kama Bwin,betway nk ndo biashara yao.Miaka hiyo kuna kashfa ya upangaji matokeo Italy iliyoporomosha soka la nk.Mikeka ili Chanika maana Ac Milan was the favourate,ikiwa na Seedorf,Gatuso,Maldin,sheva,Kaka etc.
 
Ilichokifanya Liverpool kimeshafanywa na timu moja hapa Tanzania... Simba Sc!
Mwaka juzi kama sikosei ni 2015, Yanga alikuwa anaongoza 3-0 mpaka timu zinaenda half time break...
Kule vyumbani,Mzee Kibadeni na Jamhuri Kihwelo Julio kama makocha wa Simba mwaka huo wakawaambia vijana... "Sasa tatu zinatosha, msitake warudishe zile 5-0 na kuvunja rekodi yetu, kama mlipewa pesa basi hizi goli zinatosha... Nendeni mkacheze mpira!!"

Watu wakarudi kati, mpaka dakika tisini zinaisha ubao ukawa Yanga 3-3 Simba. Simba walitandaza soka la Karne!!
 
Msimu huu wanaweza wakatukumbusha mambo waliyofanya miaka 13 iliyopita
 
Back
Top Bottom