ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
huu ni ushubwada..walitisha sana watu tulizima tv after 45 min tukalala kuamka asubuhi mazungumzo mtaani yamebadilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu ni ushubwada..walitisha sana watu tulizima tv after 45 min tukalala kuamka asubuhi mazungumzo mtaani yamebadilika.
Ulaya betting ilianza kitambo na makampuni kama Bwin,betway nk ndo biashara yao.Miaka hiyo kuna kashfa ya upangaji matokeo Italy iliyoporomosha soka la nk.Mikeka ili Chanika maana Ac Milan was the favourate,ikiwa na Seedorf,Gatuso,Maldin,sheva,Kaka etc.Mikeka kama ilikuwepo kipindi kile basi haikuchanika sana maana liver ndie aliyekuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda, labda ilichanika kwakua game ndani ya dk 90 iliisha kwa droo
Simba Na YangaIle mechi sitaisahau. Kutoka 3-0 hadi 3-3