Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya ya mwaka 2005 iliyopigwa jijini Instabul nchini Uturuki inabakia moja kati ya mechi bora za wakati wote. Fainali hiyo ilizkutanisha Ac Milan dhidi ya Liverpool. Half time Milan alikuwa anaongoza 3-0 kabla kipindi cha pili Liverpool kusawazisha na kuwa 3-3. Baada ya extra time, Liverpool akabeba taji kwa mkiwaju ya penati.
Unakumbuka kikosi hiki? Mchezaji gani alikuvutia katika fainali hii? karibu utueleze
cc:
makaveli10 Guasa Amboni King Ngwaba Joseverest
Unakumbuka kikosi hiki? Mchezaji gani alikuvutia katika fainali hii? karibu utueleze
cc:
makaveli10 Guasa Amboni King Ngwaba Joseverest