Unawakumbuka mashujaa hawa wa fainali ya UCL jijini, Instanbul 2005

Kama kweli unaitizama sana Basi bila yashaka umeuona uwezo waliouonesha akina Serginho, Kaka, Crespo ndani ya uwanja.
Alafu mnakuja hapa mnatusifia Gerard.
we mbona una roho mbaya..au team LA liga!!?..utaongozaje tatu had mapumziko kisha watu warudishe zote!?..kama sio ubovu wako na ubora wa mpinzani!?..tumia akili
 
we mbona una roho mbaya..au team LA liga!!?..utaongozaje tatu had mapumziko kisha watu warudishe zote!?..kama sio ubovu wako na ubora wa mpinzani!?..tumia akili

Kufahamishana Football na washabiki EPL kazi kubwa. Mana weye unachambua football wao wanachambua Rugby bora uachane nao tu usijiumize kichwa.
 
Kufahamishana Football na washabiki EPL kazi kubwa. Mana weye unachambua football wao wanachambua Rugby bora uachane nao tu usijiumize kichwa.
kumbe ndio tatizo lako..chuki kwa EPL..poleni na kampeni yenu ya kuponda EPL na kusifia la liga huku nafsi zikiwasuta
 
Kikosi kizima cha Liverpool kinahitaji shukrani kwa kuonyesha ari na molari ya kupambana hadi kufanikiwa kushinda kombe.

Ila mimi ningeambiwa nichague mchezaji mmoja wa kumpa sifa za pekee kwa upambanaji wake basi ningeenda tofauti na wengi hapo juu, mimi nisingempa nafasi ya kwanza Gerrard. Ningempa kiungo mjerumani Dietmar Didi Hamann.

Hamann aliingizwa mapema kipindi cha pili kwenda kufanya mpango kabambe wa kumzuia Andrea Pirlo asitawale idara ya kiungo na kuendelea kuleta madhara kwa Liverpool. Na kweli Hamann akampoteza kabisa Andrea Pirlo aliyejulikana pia kama " The Brain of Milan " na matokeo Ac Milan nayo ikapoteza dira ndani ya uwanja na kuifanya Liverpool irudi mchezoni.

Hivyo kwangu mimi Dietmar Hamann ni shujaa asiyeimbwa katika usiku ule wa fainali ya 2005 jijini Instanbul ila hawezi kuimbwa sana kwa kuwa sio Muingereza.
 
Nimemkumbuka fullback wa kulia hapo Steve Finnan alijaaliwa sana uwezo mkubwa wa kupiga krosi zenye macho.

Pia kuna fullback wa kushoto John Arne Riise ambaye katika kupiga mikwaju ya moto iliyoshiba yuko vzr.

Xabi Alonso akiwa bado kijana mbichi kabisa akiwa katika msimu wake wa kwanza Liverpool akitokea Real Sociedad.

Liverpool hii ilikuwa ya aina yake pia!
 
Mikeka ilichanika isivyo kawaida hiyo siku
Mikeka kama ilikuwepo kipindi kile basi haikuchanika sana maana liver ndie aliyekuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda, labda ilichanika kwakua game ndani ya dk 90 iliisha kwa droo
 
Mimi hadi leo nampa pongezi jazzy dudek
 
Kinachoniuma sana by now ni kwamba Kocha aliyeifikisha Liverpool hapo sasa anafundisha katimu mbuzi kabisa kwenye EPL[emoji622]
Newcastle united siyo katimu mbuzi Mkuu,Alan Shearer akiwa on fire,aligota hapo pamoja na kutakiwa na timu kubwa ndani na nje ya England.Ni suala la muda na uwekezaji tuu.
 
2007,finali ilijirudia kama ilivyo historia lakini jipya likawa Milan akashinda ingawa Peter Crouch alishaanza kufanya yake,na kama kungekuwa bado dakika kumi mbele,AC Milan walishaanza kuandamwa na jinamizi la Artatuk stadium,Shevchenko na akina Kaka walishaanza kuwa na hofu.
 
ao wanaosifiwa sikioni cha kusifiwa.

Katika prove ya uhakika kama bahati nayo ipo. au ulaya pia kunarogwa ni mechi hii.
Lakini kusema kitu uwezo hilo jambo haliingia akilini kabisa.

Mkuu unasahau msemo mmoja wa "Fortune Favors The Brave".
 
Kwang mm shujaa ni banitez,,namnukuu--

unaona hao mashabiki wakiosafiri umbali wa maili nyingi kuja kiwashuhudia mkipambana?bas msiwaangushe,nataka mkafunge goli moja tu,na itakua historia kwenu,kwangu na vizaz vyenu,kapambaneni kutafuta goli moja na hao wanaowashangilia pamoja na kufungwa magoli matatu wajitoe zaid kwa ajili yenu

Baada ya hapo nadhan kila mmoja anakumbuka kilichotokea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…