Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 984
- 926
Hiyo mechi huwa naitizama sana.Unahitajika ukarudie kuutizama tena mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mechi huwa naitizama sana.Unahitajika ukarudie kuutizama tena mpira.
Hiyo mechi huwa naitizama sana.
we mbona una roho mbaya..au team LA liga!!?..utaongozaje tatu had mapumziko kisha watu warudishe zote!?..kama sio ubovu wako na ubora wa mpinzani!?..tumia akiliKama kweli unaitizama sana Basi bila yashaka umeuona uwezo waliouonesha akina Serginho, Kaka, Crespo ndani ya uwanja.
Alafu mnakuja hapa mnatusifia Gerard.
we mbona una roho mbaya..au team LA liga!!?..utaongozaje tatu had mapumziko kisha watu warudishe zote!?..kama sio ubovu wako na ubora wa mpinzani!?..tumia akili
kumbe ndio tatizo lako..chuki kwa EPL..poleni na kampeni yenu ya kuponda EPL na kusifia la liga huku nafsi zikiwasutaKufahamishana Football na washabiki EPL kazi kubwa. Mana weye unachambua football wao wanachambua Rugby bora uachane nao tu usijiumize kichwa.
Mi sijui hata nilikua wapi? Nachezea udongo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile mechi sitaisahau. Kutoka 3-0 hadi 3-3
Maisha ni safari ndefu mkuu, kuna kupanda na kushuka!Kinachoniuma sana by now ni kwamba Kocha aliyeifikisha Liverpool hapo sasa anafundisha katimu mbuzi kabisa kwenye EPL[emoji622]
Nimemkumbuka fullback wa kulia hapo Steve Finnan alijaaliwa sana uwezo mkubwa wa kupiga krosi zenye macho.Mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya ya mwaka 2005 iliyopigwa jijini Instabul nchini Uturuki inabakia moja kati ya mechi bora za wakati wote. Fainali hiyo ilizkutanisha Ac Milan dhidi ya Liverpool. Half time Milan alikuwa anaongoza 3-0 kabla kipindi cha pili Liverpool kusawazisha na kuwa 3-3. Baada ya extra time, Liverpool akabeba taji kwa mkiwaju ya penati.
Unakumbuka kikosi hiki? Mchezaji gani alikuvutia katika fainali hii? karibu utueleze
![]()
cc:
makaveli10 Guasa Amboni King Ngwaba Joseverest
Hivyo kwangu mimi Dietmar Hamann ni shujaa asiyeimbwa katika usiku ule wa fainali ya 2005 jijini Instanbul ila hawezi kuimbwa sana kwa kuwa sio Muingereza.
Mikeka kama ilikuwepo kipindi kile basi haikuchanika sana maana liver ndie aliyekuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda, labda ilichanika kwakua game ndani ya dk 90 iliisha kwa drooMikeka ilichanika isivyo kawaida hiyo siku
Mimi hadi leo nampa pongezi jazzy dudekKikosi kizima cha Liverpool kinahitaji shukrani kwa kuonyesha ari na molari ya kupambana hadi kufanikiwa kushinda kombe.
Ila mimi ningeambiwa nichague mchezaji mmoja wa kumpa sifa za pekee kwa upambanaji wake basi ningeenda tofauti na wengi hapo juu, mimi nisingempa nafasi ya kwanza Gerrard. Ningempa kiungo mjerumani Dietmar Didi Hamann.
Hamann aliingizwa mapema kipindi cha pili kwenda kufanya mpango kabambe wa kumzuia Andrea Pirlo asitawale idara ya kiungo na kuendelea kuleta madhara kwa Liverpool. Na kweli Hamann akampoteza kabisa Andrea Pirlo aliyejulikana pia kama " The Brain of Milan " na matokeo Ac Milan nayo ikapoteza dira ndani ya uwanja na kuifanya Liverpool irudi mchezoni.
Hivyo kwangu mimi Dietmar Hamann ni shujaa asiyeimbwa katika usiku ule wa fainali ya 2005 jijini Instanbul ila hawezi kuimbwa sana kwa kuwa sio Muingereza.
Newcastle united siyo katimu mbuzi Mkuu,Alan Shearer akiwa on fire,aligota hapo pamoja na kutakiwa na timu kubwa ndani na nje ya England.Ni suala la muda na uwekezaji tuu.Kinachoniuma sana by now ni kwamba Kocha aliyeifikisha Liverpool hapo sasa anafundisha katimu mbuzi kabisa kwenye EPL[emoji622]
2007,finali ilijirudia kama ilivyo historia lakini jipya likawa Milan akashinda ingawa Peter Crouch alishaanza kufanya yake,na kama kungekuwa bado dakika kumi mbele,AC Milan walishaanza kuandamwa na jinamizi la Artatuk stadium,Shevchenko na akina Kaka walishaanza kuwa na hofu.Hiyo unasemea dakika 30 za ziada ndo ACM walishambulia sana na kukosa magoli japo na wao walikoswa. Lakini kipindi cha kwanza baada ya magoli yale ma3 Liverpool walitulia mpaka mapumziko. Kipindi cha pili ndo ACM walisakwa sana mpaka goli zikarudi zote.
ao wanaosifiwa sikioni cha kusifiwa.
Katika prove ya uhakika kama bahati nayo ipo. au ulaya pia kunarogwa ni mechi hii.
Lakini kusema kitu uwezo hilo jambo haliingia akilini kabisa.