Ilichokifanya Liverpool kimeshafanywa na timu moja hapa Tanzania... Simba Sc!
Mwaka juzi kama sikosei ni 2015, Yanga alikuwa anaongoza 3-0 mpaka timu zinaenda half time break...
Kule vyumbani,Mzee Kibadeni na Jamhuri Kihwelo Julio kama makocha wa Simba mwaka huo wakawaambia vijana... "Sasa tatu zinatosha, msitake warudishe zile 5-0 na kuvunja rekodi yetu, kama mlipewa pesa basi hizi goli zinatosha... Nendeni mkacheze mpira!!"
Watu wakarudi kati, mpaka dakika tisini zinaisha ubao ukawa Yanga 3-3 Simba. Simba walitandaza soka la Karne!!