Utawasikia wakisema mafanikio yake kuna nguvu zetu pale, ila sasa hivi katusahau.
Yaaani Ivoo! ivo bin mule!! mule!! km ulikuwepo vile!..hasa km ulikuwa na tabia nzuri na mchapa kazi, maji unachota unapiga deki nyumba nzima bila kujali!! unapalilia maua! bila kinyongo weeeee!
ukipata kidogo mnagawana, siyo mlevi, siyo Malaya, siyo mvivu, tuition kidogo unatoa kwa wanae kifupi hujatoka na kasoro pale kwenye hiyo nyumba,....nenda mazima! ukirudi tu wanakutafuta kasoro sasa!
Zile za lazima! lazima! La kwanza utakalo twishwa ni kuwa ... ''unajidai una hela!....lingine alimtongoza Binti yangu/mke wangu!.......hatoi hela ni mkono wabirika! haya yoote ytakufanya uwe mlevi!
wengine wanaenda mbali zaidi km ni me/ke! Endapo hutarogwa utalengeshwa kwenye Mpenzi mwenye ukimwi! ili utoke nae na hao hao ndo watakuwa wa kwanza kukutangaza kuwa una Ukimwi!
USHAURI WANGU; Tambaa!!! kabisaaa!! usiangalie nyuma!! hao watoa! toa! misaada, huku wanaangalia nyuma! ...na kumbukumbu nyingiii ....kuna kitu kibaya walisahau kukufanyia!
au waambie kabisaa tena wazi wazi bila kumungunya Maneno!! ''anaye toa kwa moyo hasemiiii....na huta mjua'''.............wote walio kusaidia hawawezi kuwa na roho sawa!....
kuna rijamaa rimoja hilo hata kusalimia kwa watoa misaada wake wa awali tena misaada waliyo mpa ni ya hali na Mali lkn jamaa halitaki! hata kuwaona.ukiliita litakuja lkn no ushirikiano!
yaani linajifanya haliwajui kabisaaaa!! basi na wewe kuwa km huyo!...nawashauri na nyie mkitoa toeni kwa moyo then sahauni kabisaaaa!! km Marehemu Mengi alivyo kuwa! ...
Yule mzee alikuwa akikupa msaada ni kweli kakupa , mbali na kutaka msaada wako hakukumbuki milele, na utamkumbusha milele! tena milele!!..na atakuajili hapo hapo, lkn hakujui!