Hawa ni magaidi waliouteka ubalozi wa japani nchi Peru miaka ya katikati ya 90. Waliwashikilia watu zaidi ya 100 kwa miezi kadhaa. Utekaji uliisha kwa shambulizi la makomandoo wa kiperu baada ya kushindwa majadiliano.
Nini kilikuwa chanzo cha utekaji huu.? Nini yaliyokuwa madai ya watekaji?
Karibu tujadili.