Unawakumbuka TUPAC AMURU?

Unawakumbuka TUPAC AMURU?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Hawa ni magaidi waliouteka ubalozi wa japani nchi Peru miaka ya katikati ya 90. Waliwashikilia watu zaidi ya 100 kwa miezi kadhaa. Utekaji uliisha kwa shambulizi la makomandoo wa kiperu baada ya kushindwa majadiliano.

Nini kilikuwa chanzo cha utekaji huu.? Nini yaliyokuwa madai ya watekaji?
Karibu tujadili.
 
Nakumbuka ndipo jina la Alberto Fujimori lilipata umaarufu
 
Mwagikeni zaidi mnaofahamu hii ishu vizuri
 
Back
Top Bottom