Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka naona kero, maana ilikuwa too much
Lakini nilijivunia sana kuwa pale maana nilijifunza mengi ikiwamo kujibidisha katika kusoma kwa vile wote walikuwa vipanga hatari, achana na hawa viazi wa Siku hizi .🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Lakini nilijivunia sana kuwa pale maana nilijifunza mengi ikiwamo kujibidisha katika kusoma kwa vile wote walikuwa vipanga hatari, achana na hawa viazi wa Siku hizi .🙏🙏🙏🙌🙌🙌