NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Halafu fundi wa kisambaa sasa!!Wafanye tu mchakato wa kubadilisha kabla ligi haijaanza. Mbunifu wa hizo jezi amezingua. Yaani batiki siyo batiki! Hayo mabukta utafikiri yameshonwa na fundi nguo wa pale Mafiati! Kwa kweli anastahili kupata 1/10
Wao wenyewe wanajua kabsaa wamezingua. Hizo pozi za wachezaji zinaonesha wasiwasi mkubwa na hawaelewi wamevaa nini, hawajiamini. Sasa sijui kama hata hiyo ligi watacheza vizuri. Confidence ya binadamu yoyote anapo appear kwenye kadamnasi inajengwa kuanzia kwenye mavazi. Anyways sioni jezi hapo zaidi ya vipepeo na maua yao.Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila wanyakyusa!!!Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Nikajua Bazee a.k.a Batiki zilizovaliwa miaka Ile n kina Mama Teri na Mama Lwakatare😂😂Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151