Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Kama wanakwaya wa mt Teresia.Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Kama wanakwaya wa mt Teresia.Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Mmhh mbona kama dela, haikutakiwa kufanana kama sutiChini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Unaingia kwenye ligi huna uhakika wa mshaharaView attachment 3442183
Mbona wachezaji wote sura zao Zina masikitiko sana
Noma Sana mkuu! 🤣Unaingia kwenye ligi huna uhakika wa mshahara
🤣Maybe Uneat🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂 Daah mkuu acha kabisa kazi zetu zina mambo mengi..Poor Brain jezi gani hizi umewadezainia ndugu zako??
Ata ww iyo jezi ua na furaha?View attachment 3442183
Mbona wachezaji wote sura zao Zina masikitiko sana
Siyo poa mkuu 🤣🤣Ata ww iyo jezi ua na furaha?