Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

2. Mbona walikuwaga na jezi kali. Waache ujinga, hizo siyo jezi.
 
Achana na jezi, msijisahaulishe, hao jamaa wanaupiga mwingi sana uwanjan.
Ngoja ligi ianze tukutane sokoine
 
Back then walikua na nyuzi kali sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…