Unawaza kwanini huolewi au huoi, kumbe uliolewa na kuoa ukiwa mdogo

Unawaza kwanini huolewi au huoi, kumbe uliolewa na kuoa ukiwa mdogo

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Watoto wakishua mtupishe, asilimia kubwa ya jamii za watoto wa kiafrika wamekuwa wakicheza mchezo almaarufu uitwao kibaba na mama; ambapo baadhi yao watoto wa kiume hujifanya baba, wengine wakike hujifanya mama.

1789127341782.png
 
Watu uliecheza nao utotoni mkikua hata urafiki hamna tena zaidi ya kujuana tu kwa hiyo haihusiani na kuolewa
 
Watu uliecheza nao utotoni mkikua hata urafiki hamna tena zaidi ya kujuana tu kwa hiyo haihusiani na kuolewa
 
Back
Top Bottom