Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kwa hiyo wawatafute wenza wao popote walipo haraka sana,sivyo?Watoto wakishua mtupishe, asilimia kubwa ya jamii za watoto wa kiafrika wamekuwa wakicheza mchezo almaarufu uitwao kibaba na mama; ambapo baadhi yao watoto wa kiume hujifanya baba, wengine wakike hujifanya mama.
View attachment 3668453
Tutajua tu mwehu ni nani tutakapofika mwisho wa safari.Haki ya nani mtoa mada una changamoto ya afya ya akili
Mshana Jr ,tusaidie hapa kwenye tafsiri za picha. Maana πππWatoto wakishua mtupishe, asilimia kubwa ya jamii za watoto wa kiafrika wamekuwa wakicheza mchezo almaarufu uitwao kibaba na mama; ambapo baadhi yao watoto wa kiume hujifanya baba, wengine wakike hujifanya mama.
View attachment 3668453
Mapigo yananyuka mulemule kwenye mwendo.Mshana Jr ,tusaidie hapa kwenye tafsiri za picha. Maana πππ