Ukiamua kuacha jambo, kwa nini uwashughulishe watu wanaolifanya kwa maswali yasiyo na msingi? Cha ajabu, wewe mwenyewe ulikuwa mmoja wao. Sasa kama umeacha, unasumbuka nini na wanaoendelea kulifanya?
Umeacha kusali au kuswali , unawadiss wanaosali na kuswali.
Umeacha kuamini, unawadiss wanaoamini.
Si kila unachoacha kinapaswa kuwa vita yako dhidi ya wanaoendelea kukifanya.
Wakati mwingine, huku si kujiamini, bali ni kutafuta validation kwa watu wengine ili ujihakikishie kwamba uamuzi wako ulikuwa sahihi.
Unaweza kubadilika bila kudharau waliobaki pale ulipotoka.