Unaweza kudhania hapa ni mmoja wa mtaa uliopo Rangi tatu ila hapa ni Paris

Uchafu huo ni wa siku husika means uchafu wa jana ushazolewa haukuachwa ukutane na wa leo,tofauti na huku kwetu kungekuwa na dampo hapo pembeni lenye uchafu wa mwezi mzima huku tukishuhudia mitaro yenye kinyesi cha waindi inayotoa harufu kali.
 
umaskni ni kitu kibaya sana,hata uwezo wa kufikiri vizuri unapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…