Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
ahsante ila naamini inatk muda zaidi.MSAMAHA maana tafsiri sahihi ya hasira ni kosa analokufanyia MTU Mwingine ila Adhabu unajipa wewe
So Upatapo hisia za hasira anza na kuachilia MSAMAHA na kushukuru ukifanya hivyo utaendelea kuishi Maisha Furaha amani na upendo na hii ndo siri
ahsante ila naamini inatk muda zaidi.
sawa,ndy mimi naongelea hchoHuwezi. Unachoweza kudhibiti ni hatua ya kuchukua ukiwa na hasira hiyo.
dah ngumu sna.Hiyo ni kanuni inaitwa the power of Gratitude kuwa mtu wa kushukuru ur life will change completely tumia hiyo mbinu utaona hata maadui zako wanaelekeza silaha zao katika kukulinda badala ya kukudhuru
Endelea kuhifadhi chuki na kufuga vinyongo utakufa Mapema na utakuwa Mtu hasira mwisho utaichukia hii Zawadi ya MAISHAdah ngumu sna.
Kwenye case amby maamuzi yote ni mabaya je?Inashauriwa usifanye maamuzi makubwa wakati unapokuwa katika hali ya furaha, huzuni, au hasira kwa sababu hisia hizo zinaweza kusababisha upendeleo na kutokuwa na utulivu katika maamuzi yako.
Furaha inaweza kukufanya uchague chaguo lenye hatari bila kufikiria vizuri, huzuni inaweza kusababisha maamuzi ya kukosa matumaini, na hasira inaweza kufanya uchukue hatua isiyo na busara.
Ni muhimu kupumzika na kutulia ili kufikiria kwa kina na kufanya maamuzi sahihi.
Fanya maauzi yako ukiwa katika hali yako ya kawaida maana.
Misahafu inasema tuwe na hasira, lakini tusitende dhambi. Sasa ogopa kutenda dhambi.sawa,ndy mimi naongelea hcho
Sometimes mambo mengi huumiza mno.Endelea kuhifadhi chuki na kufuga vinyongo utakufa Mapema na utakuwa Mtu hasira mwisho utaichukia hii Zawadi ya MAISHA
Sijakuelewa swali lako mkuukwenye case amby maamuzi yote ni mabaya je?
Sijakuelewa swali lako mkuu
sawaKila wakati kubali kusema Kwa heri Kwa jambo lolote linaloumiza moyo.hii Dunia Ina Siri nyingi sana ambazo hatuzijui Bado,jifunza Kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza akili. Hakuna maamuzi mabaya. Sema maamuzi uliyoyachukua yanaweza yasilete matokeo uliyoyategemea kwa wakati ule. Na maamuzi mengi mabovu yanafanywa katika hali hizo zilizokatazwa.IKitokea case ambpo maamuzi yote unayochukua ni mabaya?
Sio kila anaekasirika ana kinyongo,au hawezi kusamehe,hasira ni hisia inayokuja auotomatically baada ya kuudhiwa kitu ambacho huwezi kujizuia, cha muhimu hapa ni kuto kukaa na hiyo hasira kwa muda mrefu, kwani mwisho wa siku itakusababisha uwe na chuki amabayo itakayokufanya sasa uwe na kinyongo,na hapa sasa ndio utahitajika kusamehe, maana kumuweka moyoni mtu aliyekuudhi kwa muda mrefu itakuletea madhara ya kimwili na kiroho.MSAMAHA maana tafsiri sahihi ya hasira ni kosa analokufanyia MTU Mwingine ila Adhabu unajipa wewe
So Upatapo hisia za hasira anza na kuachilia MSAMAHA na kushukuru ukifanya hivyo utaendelea kuishi Maisha Furaha amani na upendo na hii ndo siri