DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naelewa ni swala la kuhakikisha unashukuru kwa kila Jambo liwe baya au zuri so Mimi akinikwaza huwa namshukuru hapo hapo namwambia nashukuru ubarikiwe sana hii imepelekea kuwa mbali na maadui wa kimwili na kiroho kabla mtu ajanifanyia ubaya lazima Apate hisia za kuona i'm innocent so MAARIFA ni utajiriSio kila anaekasirika ana kinyongo,au hawezi kusamehe,hasira ni hisia inayokuja auotomatically baada ya kuudhiwa,kitu ambacho huwezi kujizuia,cha muhimu hapa ni kuto kukaa na hiyo hasira kwa muda mrefu,kwani mwisho wa siku itakusababisha uwe na chuki,itakayokufanya sasa uwe na kinyongo na hapa sasa ndio utahitajika kusamehe, maana kumuweka moyoni mtu aliyekuudhi kwa muda mrefu itakuletea madhara ya kimwili na kiroho...
The power of Gratitude hii kitu inanguvu sana