Unaweza kudhibiti hasira mtu akifanya usichopenda?

Naelewa ni swala la kuhakikisha unashukuru kwa kila Jambo liwe baya au zuri so Mimi akinikwaza huwa namshukuru hapo hapo namwambia nashukuru ubarikiwe sana hii imepelekea kuwa mbali na maadui wa kimwili na kiroho kabla mtu ajanifanyia ubaya lazima Apate hisia za kuona i'm innocent so MAARIFA ni utajiri


The power of Gratitude hii kitu inanguvu sana
 
unavuta pumzi ndeffu kwa ndani alaf unaziachia taratibu,,then usimjibu chochote{acha uonekane fala kwa muda huo} alaf ondoka haraka,,,ukishaondoka tu!! waliomzunguka ndo wanamwona yeye kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…