Unaweza kufa kwa ajili ya umpendae

Siwezi kufa kwaajili ya mtu mwingine, kila mtu afe kama ilivyopangwa kwa nafasi yake.
Mfano, nikifa kwaajili ya mama yangu mwenye miaka 80 halafu taarifa za kifo changu zikamuua kwa presha nitakuwa nimefanya nini? Mimi kijana wa mika 30 nitakiwa kuendeleza ukoo kwa kumletea wajukuu sio kujiua kwaajili yake.
 
[emoji23][emoji23]aisee
 
Ukishakufa baada ya wiki anampenda mwingine 😀😀😀
 
Imeandikwa katika Biblia.
Yn 15:13
Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
 
Me have i do anything for you
But if nah to die
am no go die for you
Coz dis is reality am sorry
Song : Reality
By: Rudeboy
 
Nilishasema katika maisha yangu, niko hapa kwa sababu na nitaishi kwa ajili ya dhumuni.
👉Kuhusu kufa kwa ajili ya mtu, hapana.
👉Labda niwa pambanie watu wangu muhimu kwa nguvu na utashi wangu💪
 
Hapana hatuishi mara moja, tunaishi kila siku. Ila tunakufa mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…