Sina uhakika sana ila nachojua sperm zikiwa ndani ya mwili wa mwanamke zinaweza kua active kwa muda wa siku tano ,mfano leo umefanya sex halafu kesho kutwa ndio ovulation ikatokea kuna possibility ya kupata mimba ,ila ni kwa mda gani sperm huwa hai nje ya mwili wa mwanadamu inategemea na mazingira yenyewe ,je ni makavu,au wet yana joto fulani etcMhhh aseee
Inamaana sperm ina uwezo wa kuiahi njee ya mwili wa binadam?kwa muda gani?
Inategemea na mwanaume uliyekuna nae kama anauwezo wa kuzalisaha bas ni lazima upate mimbaNaomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Duuu basi sawaaSina uhakika sana ila nachojua sperm zikiwa ndani ya mwili wa mwanamke zinaweza kua active kwa muda wa siku tano ,mfano leo umefanya sex halafu kesho kutwa ndio ovulation ikatokea kuna possibility ya kupata mimba ,ila ni kwa mda gani sperm huwa hai nje ya mwili wa mwanadamu inategemea na mazingira yenyewe ,je ni makavu,au wet yana joto fulani etc
Kuna ukweli katika hilo mkuu?Kama mkiwa mna dinyana uku mmesimama huwezi kupata mimba. Alafu ukumbuke na utasa pia
Nadhani ndio maana wababa wengi wanalea watoto wasio wao ndio hivyo tena mtu ume sex leo na mtu mwingine ,siku tatu mbele una sex na mmeo mwenyewe anajituma kumbe anachofanya ni kuongezea tu maskio wenzie washamtanguliaDuuu basi sawaa
Inaonekana mapenzi unayajua Sana ww mtotounaweza fanya hizo siku usipate mimba ,... mimba ni mjumuiko wa mambo mengi mwenzio anaweza kutoa mbegu hazina nguvu ya kutungisha kiumbe au wewe mayai yako yakawa hayajapevuka vyema kuweza kuruhusu utungaji wa mimba,,... jambo jingine position ya kufanya hilo tendo kuna style nyingine zinafanya mbegu zisiweze kufikia yai kwa wakati na wakati mwingine kufika mbegu zimechoka hoi zikaishia kufa tu.....
kinywaji hasa na vyakula utavyotumia vinaweza sababbisha hata kama mimba imetungwa ikaharibika in early stage bila ya wewe kujua ,.. wanawake wengi wanapata tatizo hili la mimba kutoka mapema bila ya wao kujua... madaktari wanweza elezea hili swala la mimba kuharibika ndani ya siku tatu hadi wiki mbili bilawatu kujua ...
MUHIMU: tumia kifo cha mende kama unahitaji mimba huku mkifanyana kimahaba na pole pole ...
usitumie vinywaji vichungu sana, wengine hutumia sprite baridi sana au coca baridi au dawa za minyoo au baadhiya dawa baada ya tendo baadhi ya mabinti huwa wanasababisha mimba isitungwe....
unatumia topaz au mkasi...?jioni utanipa ngoja kwanza nimalizie kupalilia hili shamba
ndiyo nayajuaInaonekana mapenzi unayajua Sana ww mtoto
@misschaga
natumia mndounatumia topaz au mkasi...?
ahaaaa......umetisha sananatumia mndo
Uje siku moja unipe @miss chagandiyo nayajua
haya nitakujaUje siku moja unipe @miss chaga
Haiwezekani labda una matatizo ya kozazi ama utumie kondomu au Jamaa amwage nje otherwise unatatizo!Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Yawezekana kabisaaa kama utatumia kondomu au njia nyingine yoyote ya kuzuia mimbaNaomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!