Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iyo ni 50 50...ila tafuta umu kuna thread ilieleza vizuri na nilivyotesti nikampa mimba kweliiiNaomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Ahsante miss kwa ushauri..Kuanzia leo Ntakuwa napiga kifo cha mende tu hadi kielewekeunaweza fanya hizo siku usipate mimba ,... mimba ni mjumuiko wa mambo mengi mwenzio anaweza kutoa mbegu hazina nguvu ya kutungisha kiumbe au wewe mayai yako yakawa hayajapevuka vyema kuweza kuruhusu utungaji wa mimba,,... jambo jingine position ya kufanya hilo tendo kuna style nyingine zinafanya mbegu zisiweze kufikia yai kwa wakati na wakati mwingine kufika mbegu zimechoka hoi zikaishia kufa tu.....
kinywaji hasa na vyakula utavyotumia vinaweza sababbisha hata kama mimba imetungwa ikaharibika in early stage bila ya wewe kujua ,.. wanawake wengi wanapata tatizo hili la mimba kutoka mapema bila ya wao kujua... madaktari wanweza elezea hili swala la mimba kuharibika ndani ya siku tatu hadi wiki mbili bilawatu kujua ...
MUHIMU: tumia kifo cha mende kama unahitaji mimba huku mkifanyana kimahaba na pole pole ...
usitumie vinywaji vichungu sana, wengine hutumia sprite baridi sana au coca baridi au dawa za minyoo au baadhiya dawa baada ya tendo baadhi ya mabinti huwa wanasababisha mimba isitungwe....
Ulipogawa mbunye bila ndom ulitegemea nini? Kuwa mpole utuletee kamjombaNaomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
na ni kitamu acha kabisa... mambo ya kufanya mieleka kitandani si mazuriAhsante miss kwa ushauri..Kuanzia leo Ntakuwa napiga kifo cha mende tu hadi kieleweke
Teh teh..Nimekupata..Inaonekana hodari sana wa haya mambona ni kitamu acha kabisa... mambo ya kufanya mieleka kitandani si mazuri
ndiyo hasa ya hichi kistail cha kifo cha mendeTeh teh..Nimekupata..Inaonekana hodari sana wa haya mambo
Teh teh..Ntakuletea wifi yako umfunde basindiyo hasa ya hichi kistail cha kifo cha mende
karibu sanaTeh teh..Ntakuletea wifi yako umfunde basi
Ndio inawezekana ukitumia condom au mwanamme impotent.Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Nahitaji pia kujua mengi katika hili maana nimekutana na mwanamke wiki nzima ya hatari kwa lengo la yeye apate ujauzito ila mwisho wa siku holaa.
NB. Alikuwa danger zone
Duuu mkuu hii inakuajee fafanua plzDuuu hamjawahi kuskia hadithi sijui house boy kampa mimba mama mwenye nyumba wakati hawajawahi fanya mapenzi ?? Kuja kuchunguza kumbe kaogea kopo ambalo jamaa alikua anakamulia nalo punyeto
Hahaha mkuu mimi sijajua inakuaje ila ni stori sijui ilikua wapi kipindi hicho tunakua kabla ya hizi simu na magazeti ya kina shigongo ,enzi za kina zena na betina na gazeti la Bongo sijuiDuuu mkuu hii inakuajee fafanua plz
Mhhh aseeeHahaha mkuu mimi sijajua inakuaje ila ni stori sijui ilikua wapi kipindi hicho tunakua kabla ya hizi simu na magazeti ya kina shigongo ,enzi za kina zena na betina na gazeti la Bongo sijui
Ila shahawa si zinakua active siku Tatu yaani hata ukizikalia tu unaweza pata mimba ??!!
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!