Unaweza kufanya mapenzi siku za hatari na usipate mimba?

Unaweza kufanya mapenzi siku za hatari na usipate mimba?

Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
iyo ni 50 50...ila tafuta umu kuna thread ilieleza vizuri na nilivyotesti nikampa mimba kweliii

yani ni ivi siku ya period ukianza ...day 1...after day 14...( danger days ) ukipigwa dudu unaweza au huwezi kupata inategemea na shahawa nguvu zake za kukesha umo,, na viungo na joto la mwanake lipo katika hali gani

ILA UKIBAMIZWA BILA KINGA NA JAMAA AKAPIZI NDANI ( GOLI MOJA AU ZA KUTOSHA )KATIKA DAY 15 after period...NI LAZIMA UPATE UJAUZITO...( kama menstral cycle yako ni normal )
 
Kama una mimba kwa mbaaaaaali! But usikwepe majukumu jiandae kununua nepi2.
 
unaweza fanya hizo siku usipate mimba ,... mimba ni mjumuiko wa mambo mengi mwenzio anaweza kutoa mbegu hazina nguvu ya kutungisha kiumbe au wewe mayai yako yakawa hayajapevuka vyema kuweza kuruhusu utungaji wa mimba,,... jambo jingine position ya kufanya hilo tendo kuna style nyingine zinafanya mbegu zisiweze kufikia yai kwa wakati na wakati mwingine kufika mbegu zimechoka hoi zikaishia kufa tu.....
kinywaji hasa na vyakula utavyotumia vinaweza sababbisha hata kama mimba imetungwa ikaharibika in early stage bila ya wewe kujua ,.. wanawake wengi wanapata tatizo hili la mimba kutoka mapema bila ya wao kujua... madaktari wanweza elezea hili swala la mimba kuharibika ndani ya siku tatu hadi wiki mbili bilawatu kujua ...
MUHIMU: tumia kifo cha mende kama unahitaji mimba huku mkifanyana kimahaba na pole pole ...
usitumie vinywaji vichungu sana, wengine hutumia sprite baridi sana au coca baridi au dawa za minyoo au baadhiya dawa baada ya tendo baadhi ya mabinti huwa wanasababisha mimba isitungwe....
Ahsante miss kwa ushauri..Kuanzia leo Ntakuwa napiga kifo cha mende tu hadi kieleweke
 
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Ulipogawa mbunye bila ndom ulitegemea nini? Kuwa mpole utuletee kamjomba
 
Duuu hamjawahi kuskia hadithi sijui house boy kampa mimba mama mwenye nyumba wakati hawajawahi fanya mapenzi ?? Kuja kuchunguza kumbe kaogea kopo ambalo jamaa alikua anakamulia nalo punyeto
 
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Ndio inawezekana ukitumia condom au mwanamme impotent.
 
Nahitaji pia kujua mengi katika hili maana nimekutana na mwanamke wiki nzima ya hatari kwa lengo la yeye apate ujauzito ila mwisho wa siku holaa.

NB. Alikuwa danger zone

Huna mbegu wewe, na kama una watoto kawapime DNA
 
Duuu mkuu hii inakuajee fafanua plz
Hahaha mkuu mimi sijajua inakuaje ila ni stori sijui ilikua wapi kipindi hicho tunakua kabla ya hizi simu na magazeti ya kina shigongo ,enzi za kina zena na betina na gazeti la Bongo sijui
Ila shahawa si zinakua active siku Tatu yaani hata ukizikalia tu unaweza pata mimba ??!!
 
Ndiyo inawezekana. Mwanamke awe juu ua mwanaume. Au msimame wote.
 
Hahaha mkuu mimi sijajua inakuaje ila ni stori sijui ilikua wapi kipindi hicho tunakua kabla ya hizi simu na magazeti ya kina shigongo ,enzi za kina zena na betina na gazeti la Bongo sijui
Ila shahawa si zinakua active siku Tatu yaani hata ukizikalia tu unaweza pata mimba ??!!
Mhhh aseee
Inamaana sperm ina uwezo wa kuiahi njee ya mwili wa binadam?kwa muda gani?
 
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!

My sisteri princessdecruiz, kabla sijachangia kitaalam naomba kuuliza ulifanya mapenzi au ulifanya ngono? in this scenario its sound like ngono zembe!

Uwezekano upo mkubwa tu maana ili upate mimba kuwa kwenye ''siku za hatari'' ambazo kiuhalisia zilipaswa kuitwa ''siku njema'' ni sababu moja wapo tu;

1. Je mbegu za kiume zina uwezo wa kutungisha mimba
2. Je mayai yako yanauwezo wa kupevushwa na mbegu za kiume
3. Je mbegu ya kiume na yai lako vilikutana kwa muda stahiki

Kwa hiyo swala la kuwa umepata mimba au hujapata mimba litategemea mambo kadhaa.
 
Back
Top Bottom