unaweza kuhama shule na kubadilisha kombi

unaweza kuhama shule na kubadilisha kombi

jaywizz

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
14
Reaction score
0
nimepangiwa HGE lyamungo me hata sikuichagua first priority(lakin masomo yote9 nna c) nashangaa wamenipanga me nlitaka nisome PCM na topic nshakula za kutosha.malengo yangu kucoma comp science na lyamungo hamna PCM ningebadili comb.je kuna uwezekano wa kuhamia shule za jiran mosh tech or old mosh il npate iyo PCM na nkakubalwa kubadilisha?
 
pcm ila nashangaa wamenpangia HGE lyamungo

Lazima kichwa kiume hapo mkuu, manake dizaini kama wamezingua kama vipi wahi kutafuta uhamisho jembe langu na inawezekana, coz kwenda kujilazimisha comb usiyoitaka ni majanga hayo.
 
we ndo jembe Abubaro umeona yani me hta wakikataa kuniamisha nashit.naenda chuo diploma.lkn namuomba mungu nikubaliwe kuhamishwa.na mzee ndo kaanza leo izo mishe za kunihamishal thanks xana brooo
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inawezekana sana,tena ni utaratibu wa kawaida tu.Karibu kwenye ulimwengu wa pure mathematics kijana.
 
Mimi mwenyewe yamenikumba hayo hayo sikuchagua ata 1 ya art ila wamenipanga sijielewi home rwanda huku naishi apartment sina mtu wakuniguide kwenye masuala ya uhamisho ila nasoma huku mbaya zaidi hata iyo HGL nina D science nimepata vizuri sana.nifanyeje ndugu zangu.
 
mkuu polee! U mean hgl una D flat then umepangiwa hyo! Vp upnde wa science matkeo ykoje! Ila ucogpe unaweza badilisha cha msingi ukfka shule andika barua peleka kwa academic teacher ukiambatanisha na result slip yako, over...!
 
we ndo jembe Abubaro umeona yani me hta wakikataa kuniamisha nashit.naenda chuo diploma.lkn namuomba mungu nikubaliwe kuhamishwa.na mzee ndo kaanza leo izo mishe za kunihamishal thanks xana brooo

poa jembe, nina imani utafanikiwa tu.
 
Last edited by a moderator:
jaman mm Wamenipanga HGE bt PCB nina CBB, na hiyo shule ina HGE na HKL pekee, wakati nachagua comb PCB ilikuwa chaguo la 1, HGE chaguo la 5, nifanyeje!!?
 
Back
Top Bottom