GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu?
Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza kuja kuwaambia huko mbeleni, labda ikiwa "imeshabreak even"
Hufanyi hivyo kwa lengo la kukwepa kufanya uwajibikaji wa kisheria bali kuepuka usumbufu uletwao na umaarufu!
Inawezekana?
Inaruhusiwa?
Inakuwa siri kiasi kwamba:
1. Ndugu na marafiki zako hawajui kuwa unamiliki kampuni!
2. Mkeo na watoto wako hawajui kuwa una biashara "kubwa"!
3. Wafanyakazi wa kampuni yako hawafahamu kuwa wewe ndiye mmiliki, labda baadhi ya viongozi tu, labda Meneja n.k.!
4. Na wewe unaweza ukawa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni yako bila kujulikana kuwa ndiye mmiliki!
Hilo linawezekana?