Mechi kali kama ya leo ya Simba na Yanga huwa na vimbwanga vingi kila shabiki akizungumzia umaridadi wa timu yake.
Mbali na hilo, kuna suala la hela. Je, unaweza kuiua timu yako kwa kuwa anaamini uwezo wa timu nyingine?
Kama unaweza, kwa nini usihamie timu hiyo ambayo unaamini uwezo wake?